Aseeeee yamenikuta mzee mwenzangu

so mzeiya ww jina lako halisi ni ney kush?
mhindi au??cjalickia hili jina bongo...
kama c lako basi hii ni cooked story

yani hilo jina mpaka dingi ananiita mpaka maticha wangu walikua wakiniita ndio maana ukiniuliza kwa haraka haraka nakutajia hilo(ila sio jina langu kamili)
 
yani hilo jina mpaka dingi ananiita mpaka maticha wangu walikua wakiniita ndio maana ukiniuliza kwa haraka haraka nakutajia hilo(ila sio jina langu kamili)

hapo nimeshakufaham swahiba
 
Ngoja niwambie mi naitwa nehe.... Hiyo kush ni weed(bangi) kischool school camp yangu ndio tulikua tunatumia hivo vitu na me ndo nauza coz dingi alikua analima kule home wale wanaokujua tarime asa mi nilikua napewa naenda kuuza.........
 
ulikua unauza au unavuta?au vyote?
mana post yako inaonesha unavuta tena ile ya IRINGA.
 
ulikua unauza au unavuta?au vyote?
mana post yako inaonesha unavuta tena ile ya IRINGA.

Wadau wa hiyo makitu wadai kitu ya adabu ni kutoka Kyela na Iringa wapate ngoma ya Makete.
 
Funny. Ha Ha Haaaaaa !!!!!!!!!!

Ulikuwa nae. Hukumuuliza. Kulikoni waja kuwa uliza watu jamvi?

Au this is your idea of boasting that you have met her at a Bakhres sale point?

Next time chiiiiil dogo.

Halafu kasema MMU yeye kaja kumuulizia chit_chat!!!
MP.
 
Unajuwa nikwambie kitu bi. mkubwa, kwenye boma yangu kuna dogo anaitwa eliza, siku ya kwanza kuiona ID hiyo nilishikwa na fadhaa nikaanza kauchunguzi, ni juzi tu nimejua siye. walaaaaahi ningepasua mtu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…