aseeee! nashindwa kuelewa.

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
mseee wangu, mimi ndimi.

eeebana juzi kati hapa nilikua na shemeji yenu mmoja hivi, nikaona nimpeleke kwenye nyumba ya mwanangu mmoja hivi maana kwangu kulikua na wageni, na mimi sio mpenzi wa kwenda gest hovyo.

bila hiyana, ikabidi tusogee mtaa wa pili kwenye nyumba ya mshkaji ambae alikua ametoka kidogo, so akaniambia nipige tuu shoo bila tatizo aseee.

aseeeeee! wakati tupo ndani kwa mshkaji pale naendelea kupiga show kwa ubunifu na ufundi wa hali ya juuu,
mara dogo ananiambia oooh! "Jamani baby fanya taratibu hizi chaga hua zinaangukaga!"

duuuh!!! hii ni sawa kweli au mimi na kichwa changu kibovu ndio nimeelewa vibaya.

aseeee!
 
Mzee baba, kwani ulimkuta sealed (virgin). Kama golori zako ndo ziliact kama brakes, basi hupaswi kushangaa
 
mseee wangu, mimi ndimi.

eeebana juzi kati hapa nilikua na shemeji yenu mmoja hivi, nikaona nimpeleke kwenye nyumba ya mwanangu mmoja hivi maana kwangu kulikua na wageni, na mimi sio mpenzi wa kwenda gest hovyo.

bila hiyana, ikabidi tusogee mtaa wa pili kwenye nyumba ya mshkaji ambae alikua ametoka kidogo, so akaniambia nipige tuu shoo bila tatizo aseee.

aseeeeee! wakati tupo ndani kwa mshkaji pale naendelea kupiga show kwa ubunifu na ufundi wa hali ya juuu,
mara dogo ananiambia oooh! "Jamani baby fanya taratibu hizi chaga hua zinaangukaga!"

duuuh!!! hii ni sawa kweli au mimi na kichwa changu kibovu ndio nimeelewa vibaya.

aseeee!
Ha ha ha haaaa. Huyo analijua geto la mshkaji kuliko wewe
 
hilo ndilo swala
Hapa bwanA fanya yafuatayo.

Kama Ni Dem wa kupita tu yaani ORDINARY Basi kausha.

Kama Ni Dem daraja la Kati yaani SEMI LUXURI ambaye Ni Dem endelevu, Basi fanya upelelezi.

Lakini Kama Ni mke mtarajiwa LUXURY. Basi PIGA CHINI TAFTA MWINGINE.

MAwazo yangu tu yenye Moshi wa ganja kwambaaaaali.
 
ni wakupita tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom