"aseeee babaaaangu!'

"aseeee babaaaangu!'

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Hivi kwanini ngoma ya Kichagga wakicheza wanashikana mikono? Mimi navyoona easy too umwache Kavishe,Masawe n' Mangi wakati una buku5 mfukoni!
 
msipo shikana mikono unaweza kujikuta huna hata nauli ya daladala.
 
Dah!.. ilo nalo ni la kujiuliza, ukilemaa ume achwa feri.
 
Aah!acheni hzo, huo kwe2 ni UPENDO tunadumisha aisee jamaa zangu.
 
Hakuna upendo wala chuki, ni kudhibitiana tabia za asili, UNAKUMBUKA ALLY CHOKI ALIVYOWAWEZA NA: MIKONO JUU AKIWA TWANGA? wanajuana hawa, kosa moja goli kadhaa.
Hakuna kuaminiana kwenye masuala ya pochi, kila mtu aanike mikono yake hadharani to prove usalama!
 
Back
Top Bottom