Alishangaa pisi hadi akasahau kutubonyezea likes na kusababisha mpato wa sonona.Hatimaye…
...anayeuliziwa kaja.Hatimaye
Bwasheee Leo ume lewa mapema mno.Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma.
Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda maliwato , huku akinikata jicho nakutingisha makalio yake mazuri na malaini mno.
Mwamba nikajikaza , mtoto kurudi akakaa , huku akiendelea kuniangalia jicho la uchokozi😋
Mzee wa kujilamba 🍺 kama kawaida yangu , nikamkonyeza ikaja tu automatically 🤗
Kacheka , ana vijishimo kwenye shavu , nikampa ishara ya kutoka nnje na yeye akatoka nikachukua namba , kwa sababu alikuja na mwamba , kimazingira ilikua ngumu😅
Kuwasialiana nae , kumbe ni mnsanzi wa kabila la khosa 🤗
Ndio najitafakari hapa nipige au niache🤣🤣 nikiwa najilamba kama kawaida yangu😋🍺, na kibubu kimejaa😅
Inasikitisha sana.Alishangaa pisi hadi akasahau kutubonyezea likes na kusababisha mpato wa sonona.
Bwashee ushawahi kutana na pisi za South Africa?Nenda Arusha utapagawa kule kuna watoto wakali sana , ukitaka ufanye utalii wa pisi zama Arusha . Wanaoishi Arusha wanafaidi sana.
Kuhusu huyo kama malengo yako ni kuchapa tu fresh ila usijichanganye ukaingia kwenye mahusiano serious maana ukiona umempora demu kwa mtu akaja kwako ujue na yeye atatoka kwako kwa style hiyo hiyo
Noma,na akiba ipo mwilini....anayeuliziwa kaja.
Saa4 ss hv bwashee bar gan Iko wazi ama una stock ndani kwako.Hahaha bwashee mapema ipi tena🤣
Kuwasialiana nae , kumbe ni mnsanzi wa kabila la khosa 🤗
Kuna zile za kutoka Babati pisi kali Nyeupe zipo Bar Moja kule Babati...Kuna hiyo Moja inaitwa Marian na Kuna nyingine inaitwa Marian.Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma.