Asanye upepo wa Trump

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Ni muujiza viongozi wa Afrika kukubali kushindwa ktk uchaguzi. Lakini toka Trump achaguliwe hata kabla ya kuapishwa tumeanza kuona viongozi wa kiafrika wakianza kuheshima demokrasia ya maamuzi ya watu. Bado tu kuruhusu mikutano ya kusiasa hapa Tz, hebu mlio karibu na Trump mpenyezeeni hii issue tafadhali.
 
Watu wapo busy na kazi wewe unataka ukashinde kwenye makundi ya watu muibiane smartphones.

Baada ya uchaguzi kuisha umeona Clinton akiitisha mkutano wa kisiasa?

Fanya kazi kijana.
 
Watu wapo busy na kazi wewe unataka ukashinde kwenye makundi ya watu muibiane smartphones.

Baada ya uchaguzi kuisha umeona Clinton akiitisha mkutano wa kisiasa?

Fanya kazi kijana.
Lumumba group and the style of approach to issues. Wewe ni mmoja wa misukule ya Kinana & co kwa vyovyote vile!
 
Watu wapo busy na kazi wewe unataka ukashinde kwenye makundi ya watu muibiane smartphones.

Baada ya uchaguzi kuisha umeona Clinton akiitisha mkutano wa kisiasa?

Fanya kazi kijana.
Lakini ccm wao wanaruhusiwa? Tumeona kanda ya ziwa Mkuu akishukuru wapiga kura??
 
Heh, unajua nilikuwa sijui kama mbwa Jammeh kabadili mawazo hataki tena kuachia madaraka!? Maskini Afrika na haya ma mbwa yetu yanayotawala bila wishes za watawaliwa!
 
Back
Top Bottom