Asanteni wananchi wote wasiha kwa msikamono wenu katika kipindi hiki cha uchaguzi,Nimejidhirisha kabisa siha tumeamuwa tunaweza kuiondoa CCM.
Miaka kumi na Tano ya Mwl Aggrey Mwanri,imetosha sasa,Nayajuwa matatizo yenu najuwa njia za kuyatatua,Uwezo wangu na utumishi wangu kwenu hauna mashaka.
Ninawapenda kama mnavyo nipenda,Nimeteswa kwa sababu niliwapenda zaidi,nilifukuzwa kazi kwa sababu ya mahaba makubwa kwenu.
Sitawaangusha Ubunge siutafuti ili kupata heshima hapana,nautafuta ubunge ilikushirikiana sote katika kuikombowa Siha yetu.
Mtakumbuka nikiwa Mganga Mkuu Hosp ya Mkoa wa Manyara nilivyoteswa kwa sababu ya kusema kweli juu ya Siha,Hadi kuondolewa kazi lakini sikujuta kuondolewa kazi,Kwa kuwa nilijuwa katika maisha ya mwanadamu anahitaji Upendo,Nilitimiza wajibu wangu kuwapenda .
Nawashukuru sana sana kwa kuniombea nilipoondolewa kazi ila kwa Kuwa Mungu husikia na pia hujibu basi,Nilipata ajira katika hospitali ya SELIAN ARUSHA na kuwa Mkurugezi wa Hospitali hiyo.
Kazi niliyoifanya SELIAN inaonekana siwezi kusema nimefanya nini hapana nendeni mtayaona Makubwa niliyoyafanya,sikufanya ili kupata sifa nilifanya kwa kuwa najuwa Mwanadamu anahitaji upendo.
Nimeiacha nafasi hiyo Wafanyakazi wezangu najuwa walinipenda hadi wenginr kulia kwa sababu nimeondoka na sasa Nimekuja kuwambo mambo matutu.
Niamini Ninaweza Nitumeni:
Wenyewe mmekuwa mashahidi kuona jinsi vyombo vya dola vinahakikisha kunidhohofisha lakini kwa kuwa sikuwa kushindwa huwa nashinda kwa kuwa Mungu ndie nae mwamini basi Tutashinda,Nijambo la kusikitisha Mkuu wa Wilaya Ndugu Mlingwa akiwavamia vijana waliokuwa na gari langu usiku saa saba,wakiwatisha kwa kuwatolea silha yani bastola na kwataka wawaonyeshe nilipokuwa.
Ninashukuru ujasiri wa vijana wetu hawakuogomba kufa waliaamini kufa hakuepukiki walijibizana kwa muda mrefu kwa maneno.
Nawalipona usalama wao unaweza ukawa mashakani walilazimika kukimbia kuyaokoa maisha yao,
Sitaogopa vitisho kwani vitisho kwangu ni nguvu ya ushindi.
Nawashukuru sana viongozi wangu wa chama kwa ushirikiano wao kwangu sijutii kuwa Chadema,Kipeke kabisa na Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa ulizi wake kwangu.
Namshukuru sana rafiki yangu na mdogo wangu Imma Saro​ kwa ushirikiano wake tangia mwanzo wa harakati hadi sasa,Nimekuwa nae bega kwa bega ni kijana wa kipeke kabisa,Alinipokea chadama na kuonyesha dhamira ya kuikombowa siha yetu.
Dada yangu Witness Nerei Riwa​ kwa kazi zako nzuri na zenye matunda,Nakushukuru umetowa muda mali kuikombwa siha hakikika naamini mwenyezi Mungu atatimiza kiu ya wananchi wasiha.
Tumebakiza siku chache Mungu bado ni mwema tutashinda.
Nitumie fursa hii kuwaomba siku ya Jumatatu 28/09/2015 saa tatu asubuhi tujitokeze kwa wingi kuwapokea viongozi wetu wa chama pamoja na Makamu wetu wa Raisi Juma Duni Haji,Eneo la Ngarenairobi.
By
Dr Mollel .NIAMINI NINAWEZA NITUMENI: