Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

Hivi bado kuna mtu anamwamini huyu jamaa kweli ? Nani asiyejua kwamba daraja la mto mbaka limejengwa na jeshi la wananchi ?
Alisema mwanzo wanajeshi waliweka daraja la muda aina la Bailey,hivi sasa kuna daraja la kudumu.Kama ni kweli wanakyela kumkataa Dk.Mwakyembe hapo mtakuwa
 
Sijui nitumie lugha gani inayoweza kutosha kuitumia kutoa shukrani kwenu, hakika Mungu atawalipa, kwa ufupi itoshe tu kusema asante, shukrani pia ziwaendee viongozi wote wa CHADEMA Kyela, wana UKAWA wote wa Kyela kwa kazi kubwa ya kueneza mabadiliko na kuhakikisha CCM na makandokando yake vinakataliwa Kyela, mmetuahidi ubunge, Urais na kama haitoshi mmetuongeza na udiwani, hakika Mungu atawalipa.
mmechelewa.
 
Hivi bado kuna mtu anamwamini huyu jamaa kweli ? Nani asiyejua kwamba daraja la mto mbaka limejengwa na jeshi la wananchi ?
Alisema mwanzo wanajeshi waliweka daraja la muda aina la Bailey,hivi sasa kuna daraja la kudumu.Wanakyela kumwangusha Dk.Mwakyembe naona hapo mtakuwa mmefanya blunder ya mwaka yaani juhudi zake zote
za kuedeleza jimbo lake mnaona ni sawa sawa na hakuna kweli!!
 
Mwakyembe anateuliwa na raisi kuwa mbunge na naombea mungu sana raisi magufuli ampe cheo cha waziri mambo ya ndani
 
Sijui nitumie lugha gani inayoweza kutosha kuitumia kutoa shukrani kwenu, hakika Mungu atawalipa, kwa ufupi itoshe tu kusema asante, shukrani pia ziwaendee viongozi wote wa CHADEMA Kyela, wana UKAWA wote wa Kyela kwa kazi kubwa ya kueneza mabadiliko na kuhakikisha CCM na makandokando yake vinakataliwa Kyela, mmetuahidi ubunge, Urais na kama haitoshi mmetuongeza na udiwani, hakika Mungu atawalipa.
Poleni Ukiwa
 
Ahahahaha! Usiyempenda kaja!
 
selemani jafo kampiga chini kingwendu kisarawe,wamesema maigizo ayapeleke ufipa au makao makuu ya cuf bugugruni pale
 
Mwakyembe anateuliwa na raisi kuwa mbunge na naombea mungu sana raisi magufuli ampe cheo cha waziri mambo ya ndani

Wana nchi wakisha kukataa hata ukiwa waziri sijui utakuwa waziri wa watu gani. Makyembe ni mnafiki ndio maana ana hukumiwa hapa hapa Duniani. Mshauri apande jukwaani atubu na kujitoa kwenye Siasa.
 
Back
Top Bottom