Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

Asanteni wana Kyela kwa kuikataa CCM

Wana nchi wakisha kukataa hata ukiwa waziri sijui utakuwa waziri wa watu gani. Makyembe ni mnafiki ndio maana ana hukumiwa hapa hapa Duniani. Mshauri apande jukwaani atubu na kujitoa kwenye Siasa.

yaan unachokiongea hapa ni maluweluwe tu. Unaongea kama mtu anayetaka kukata roho,
 
Hongereni sana wana Kyela na popote pale ambapo mgombea longolongo kapigwa chini (bila kujali chama). Maendeleo na mabadiliko kwanzaz.
 
Nakuhakikishia, MWAKYEMBE anashinda Kyela tena kihalali, Mtakuwa dissappointed!
Ni watu wa propaganda ndo wanamponda Mwakyembe, ila anakubalika sana, atashinda kwa kimbunga!
Mwakyembe ameshinda kiti cha ubunge Kyela kwa habari nilizopata sasa hivi
Na Sauli naye ameshinda Rungwe Magharibu
BAVICHA walie tu!!!
 
yaan unachokiongea hapa ni maluweluwe tu. Unaongea kama mtu anayetaka kukata roho,
Ulisha wahi kutaka kukata roho wewe? Au unaongelea experience za watu wengine pasipo kuwa mtulivu?
 
watu weweeee km kyela wameamua kweli mabadiliko.. lkn mbey mjin mpinani hataki kusaini
 
Mwakyembe ameshinda kiti cha ubunge Kyela kwa habari nilizopata sasa hivi
Na Sauli naye ameshinda Rungwe Magharibu
BAVICHA walie tu!!!

viva mwakyembe... Huyu sauli ndio yule Sauli Pataya?
 
Hivi kuna uwezekano wowote wa kumburuza mahakamani mbunge aliyechelewesha maendeleo ya wananchi ? Tunaomba ufafanuzi wa wanasheria .
dah umenifurahisha mkuu japo nina mawazo sana na hawa watu wanachotaka kutufanyia ubungo
 
Sijui nitumie lugha gani inayoweza kutosha kuitumia kutoa shukrani kwenu, hakika Mungu atawalipa, kwa ufupi itoshe tu kusema asante, shukrani pia ziwaendee viongozi wote wa CHADEMA Kyela, wana UKAWA wote wa Kyela kwa kazi kubwa ya kueneza mabadiliko na kuhakikisha CCM na makandokando yake vinakataliwa Kyela, mmetuahidi ubunge, Urais na kama haitoshi mmetuongeza na udiwani, hakika Mungu atawalipa.

Lakini walimkubali Magufuli na kumkataa Lowasa
 
Katika hali ya kipekee nimerudi tena kwa ajiri ya kutoa shukrani zangu za dhati kwa wanakyela wote kwa namna mlivyotuamini , asante mwanyamaki , asante timu ya kampeni , asante makamanda wote , mimi binafsi naahidi kutumia elimu yangu ,kutumia utajiri ambao Mungu amenipa , kutumia marafiki wa ndani na nje ya nchi kuhakikisha tunafanya kila tulichoahidi tena kwa kiwango cha kutukuka kwenye kata zote mlizotupatia , Mungu awabariki sana .
 
Hongera Mkuu kumbe Members wengi hutumia ID inayofanania taaluma.


HONGERA SANA KIONGOZI MUNGU AKUONGOZE KUWATUMIKIA WAPIGA KURA WAKO.
 
Back
Top Bottom