Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Katika hali ya kujali wateja wake na kwenda vyema na wakati (mkavu) uliopo, kampuni yetu pendwa, Tanzania Breweries Limited (TBL) leo tarehe 27 January 2017, wametuletea chakula chetu bia ndogo ya Kilimanjaro kwa TZS 1,500 tu.
Ina mwonekano mzuri, rangi ya dhahabu inayotokana na chemchem ya maji ya Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ikumbukwe pia kwamba, TBL mpk sasa wameshatuonesha moyo wa upendo sana hasa ukizingatia kwamba, kuna safari ndogo pia yaani "mwendokasi au krikuu" ambayo dawa yake mnaijua vizuri.
Nimeizindua leo hii bia, ina radha ya kipekee sana.Dah!!!
Naomba tuwaunge mkono kampuni yetu pendwa ili tuweze kuinua mapato ya nchi yetu.
"Tanzania bila viwanda haiwezekani"
Aikambe..