Asanteni sana wana MMU.

Usimdharau kila mtu, uliambiwa mdada wa watu ni mgawaji sana? Mbona mnakuwa na madharau kiasi hicho?? Tabia mbaya na sio busara kabisa! Angekuwa ni dada yako ungemuongelea maneno kama haya kwa shemejio? BTW, kukomalia watu wafanye mapenzi kabla ya ndoa, hayo ndo maadili mema mnayoyapigia kelele?? Nasema haya kwa sababu anayesoma hapa sio senetor peke yake, hata watoto wenu na wadogo zenu wanaperuzi as guests, so siku mkisikia wanaelimishana upupu kama huu msiwalaumu!

Si anaweka tu kwani anaondoka nayo yoo?...
 
Shikamoon wote!!ebana,juzi kati nilileta thread hapa nkielezea matatzo yangu na my gal,kwamba hapokei cmu wala kujbu txts zangu,nikapewa ushauri na wadau wa nin cha kufanya ktk kipindi kile kigumu,bt namshukuru mungu shemeji/wifi yenu leo kanitafuta,tumeongea mengi na amenisamehe,so maisha yanaendelea ka kawaida..mbarikiwe sana.

kama movie vile!!kumbuka kuwa umeibiwa tayari ingawa mzigo wako hupo pale pale.
 
Mshukuru mungu kwa hilo,hope umejifunza mengi kutokana na makosa yako,nawatakia kila la kheri mfikie malengo yenu!
 
Back
Top Bottom