Asanteni sana Kwa Upendo na faraja

Pole sana kaka.
Jitahidi usilaumu, Mungu ni Mungu tu.
Kuna wakati tunaona baraka zinatujia lakini ghafla zinatoweka.

Unaweza kuhisi Mungu ni katili sana hasha.
Katika maumivu yako Mungu bado anakuwazia mema mengi kuliko unavyofikiri.
Mpe shemu pole sana, simama kiume ukawe mfariji wake mkuu na wa karibu sana.
 
 
Mtumishi.
 
Mungu awe faraja kwako na familia yako
 
Mungu akuvushe salama katika kipindi hiki kigumu sana
 
Kifo kama ibada hatuwezi kulaumu,mungu akishapanga hutekeleza majukumu....

Pole sana mkuu na uache kusikitika mwisho utakufu..
Kama kila mtu ataleta majonzi humu,hili jukwaa litajaa misiba mzee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…