Asanteni madada poa..mmerudisha furaha yangu

Asanteni madada poa..mmerudisha furaha yangu

yan mm ninachoamini ukiwa na mpenz wako akaongeza mapenz ghafla from no where kuna tatzo ndani be carefull
 
Huyo dem alikua ana ku actia kwasabab alichoka aliona huoi,..sasa umemtia hofu,..mi nadhan huyi dada hana tatzo,wee mdo mwenye tatzo,..dem akiona huna nia ya kuoa nayeye umri unaenda ,visa lazma vianze ,kuki alert kua dude,vipi?
 
kwakweli muoe tu c kwa uoga huo hahhahaha na wengine wenye watu wenye wivu wapelekeni
 
Kuamua kupeleka mahari mana yake umeridhika na tabia yake na kuona kuwa mtaishi vizuri, umemchunguza ukagundua ndiye, unaifahamu familia yake na yeye ameikubaliya kwenu, umemjaribu kwa mambo flani ukapata ukweli kuhusu msimamo wake.
 
Sasa hio hotel Bab-Kubwa ipo pande zipi mkuu?
Mkuu mada yako tutaijadili baadae, tuambie kwanza huo mgahawa upo wapi mkuu?
Sasa turudi kwenye mada hivi huo mgahawa upo wapi vile.?
Tueleze hiyo hotel ipo wapi na inaitwaje kabla hatukupatia ushauri

kimange huyo demu hana mapenzi hata mkikaa nae baada ya muda atarudi/atapata mwingine zaidi yako mapicha yataanza..
Lakini hujatupa jina la hiyo sehemu au unapaongelea *@#&&...reeze?..
 
Peleka tu hiyo mahari, usijiulize sana kuwa atabadilika au La kwakuwa ndio tabia za baadhi ya wanawake.
Sasa turudi kwenye mada hivi huo mgahawa upo wapi vile.?
Mkuu umenichekesha ulivyo uliza huo mgahawa/ hotel. Naona ya kusimuliwa hutaki tena unataka ukaone mwenyewe
 
Back
Top Bottom