Asanteni madada poa..mmerudisha furaha yangu

Huyoo dada ukimuoaa ataanza tenaa vitukoo maana hapo kajua atakuwaa kakutekaa...!!
 
fanyia kazi huu ushauri,hivi wanawake mkoje?,mimi siwaelewi maana wengi wenu ni multirole wife;
Mi namshauri aendelee kumchunguza kwanza
Mwanamke anayeweza kujibadilisha ghafla kwa kasi hiyo ni rahisi kumbadilikia badae pia akishakuwa katika himaya yake

Ila pia inaweza kuwa baada ya kuwaona hao wadada poa walivyo warembo kagundua hawezi kuhimili kumpoteza huyo rafiki yako akaamua aanze kushow love...tatizo kugundua kilicho moyoni mwa mtu ni ngumu
 
Isijekuwa ni kama anataka ndoa2 kutoka kwako
Cha kukushauri jarb kumfatilia mienendo yake na mawasiliano yake
C unajua huyo ndo mke wa baadae
 
Ni kawaida yao hawa... akishakuona kwake huchomoi, yaani amesha-kudhibiti, lazima akupasue kichwa.

Sasa hio hotel Bab-Kubwa ipo pande zipi mkuu?
 
Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys.
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka

Niende moja kwa moja kwenye mada husika kama ifuatavyo
`Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji hapa mjini nina mchumba ambaye tupo kwenye mahusiano kwa miezi saba sasa lakini kitu cha kushangaza mwenzangu alibadilika sana kama miezi minne iliyopita sasa akawa sim hapokei na sms hajib na wasap kaniblock kwa kweli nilijitaid sana kuwatumia marafik zake ili kurudisha mahusiano yetu kwa sababu nampenda sana. huyu mchumba wangu ni muajiliwa katika kampuni moja hapa mjini na mm pia nina kazi nzur na pesa ipo off course.

Baada ya kuangaika sana kurudisha penzi langu lililokua limeyumba namshukuru mungu nilifanikiwa kwa hilo bibie alirud kwangu na furaha ya mapenzi imerejea upya lakin mpenz wangu huyu hanijali kama ilivyokua mwanzo kwan sim anapokea kwa kutaka,naweza mtumia sms asubui akajib jioni,kwangu halali tena anakuja na kuondoka tu,cm yake inakua bze sana lakin kwa vile nampenda sipend kumpoteza

Kitu cha kushangazi mwezi uliopita nilimuita na kumwambia nimpeleke dinner sehem fulan hapa mjini dsm alikubali japo kwa kumuomba na kumbembeleza sana. Nilimpeleka kwenye ile hotel bab kubwa hapa mjini.
Kiukweli mm hua naenda kula pale nyakat za mchana hivyo sijui Kama usiku hua kuna wanawake wanajiuza maeneo hayo so nilifika na malkia huyu ninaempenda kwa dhat tukaagiza na kuanza kula na kunywa lakin movement za madada zilikua haziishi yaani ni wazuri ile mbaya waarab,wahind na waafrika mmmhhh kiukweli malikia wangu haingii kwa uzur kwa hawa madada,wanashape balaa,wowowo ndio usiseme hasa hao waafrika then wanasmile muda wote kwa kweli dsm hataree sana
Malkia alivyowaona alitaka kujua ni watu gani kwa vile na mm sikuwa na uhakika niliamua kumuita waiter mmoja anaenihudumia chakula wakat wa mchana mara kwa mara na hvyo nimezoeana nae sana jina lake linaanza na herufi M..na kumuuliza hawa ni watu gani?ndipo alipoamua kunielezea kwa undani zaid kua wanajiuza aisee huyu malkia wangu alistajaab sana na kunitaka tuondoke eneo hilo haraka na kuniambia nisirud tena hapo na akanizuia kupata chakula hapo siku nyingine

Kitu cha kushangaza huyu mwanamke wangu amezidisha mapenzi sana kwangu kuliko hata mwanzo na simu ananipigia mara nane hadi kumi kwa siku mpaka ofisini imekua kero simu zake mara kwa mara,lakin pia kila akitoka ofisini kwake lazima anipitie na atanisubir ata kama sijamaliza kaz mpaka usiku tuondoke wote,na anakuja kwangu mara kwa mara ata bila taarifa na kashachukua ufunguo mmoja wa nyumban kwangu,
Akifika kama sipo atafanya usafi wa nyumba,atanifulia nguo zote na kuzipiga pasi na atapika chakula na kuniambia nirud nyumban ananisubir yaani sasa mpaka nashangaa haya mapenz yameanza lini na amejiweka karib sana hata na ndugu zangu wa karib ambao alikua anawadharau hapo mwanzo
Sasa najiuliza nipeleke mahar kwao kama anavyosisitiza mara kwa mara siku hizi ili nimuoe au niendelee kumchunguza.?kiukweli nampenda lakini hii kasi yake ya gafla baada ya kuwaona hao madada
poa inanipa wasiwasi..
Mchango wa mawazo nipeleke mahari au niendelee kumtazama zaidi ?..leteni ushaur wadau tuone jinsi ya kumshaur rafiki yet..
Kwenye paragraph moja umeanza vizuri kabisa "Mimi ni kijana mwenzenu"........ukamalizia na english moja matata sanaaaa " off course" hahahahaaaaaa!!Nadhani ulitaka kusema "Of course" meaning "YES"

Lugha ya malkia haijawahi kumuacha kimange mleta uzi salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dawa jaza mimba haraka, atageuka tena , mahusiano ni timing tuu.
 
huyo kaachwa na bwana wake aliyekuwa anampenda kuliko wewe ndio maana karudisha majeshi kwako. Kwa ufupi ulikuwa unachapiwa ndio maana simu yake ilikuwa busy. Huyo demu sio mwaminifu kama unataka kumuoa mchunguze kwanza anaonekana hakupendi kwa dhati
Na sasa atupatie jina la humo mgahawa hahaha
 
ni njia wanatumia baadhi ya wanaume ambao wako na wanawake wakorofi. wanawapeleka sehemu zenye matango pori yalionona na wakitoka hapo wamama wanakuwa discpline. Jamaa yangu mmoja aliwahi kumfanyia mke wake alimpeleka pale kona hadi leo mdada heshima kubwa kwa mume wake
 
Ntauza gunia zangu za mahindi huku mkoani nije daslam december haloo naomba unielekeze hiyo Hotel ilipo nimeguswa na hao wahindi na waarab nina hamu ya papuchi nyeupe
 
Kwenye paragraph moja umeanza vizuri kabisa "Mimi ni kijana mwenzenu"........ukamalizia na english moja matata sanaaaa " off course" hahahahaaaaaa!!Nadhani ulitaka kusema "Of course" meaning "YES"

Lugha ya malkia haijawahi kumuacha kimange mleta uzi salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We noma sana umetisha
 
Back
Top Bottom