Asanteni madada poa..mmerudisha furaha yangu

Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys.
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka

Niende moja kwa moja kwenye mada husika kama ifuatavyo
`Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji hapa mjini nina mchumba ambaye tupo kwenye mahusiano kwa miezi saba sasa lakini kitu cha kushangaza mwenzangu alibadilika sana kama miezi minne iliyopita sasa akawa sim hapokei na sms hajib na wasap kaniblock kwa kweli nilijitaid sana kuwatumia marafik zake ili kurudisha mahusiano yetu kwa sababu nampenda sana. huyu mchumba wangu ni muajiliwa katika kampuni moja hapa mjini na mm pia nina kazi nzur na pesa ipo off course.

Baada ya kuangaika sana kurudisha penzi langu lililokua limeyumba namshukuru mungu nilifanikiwa kwa hilo bibie alirud kwangu na furaha ya mapenzi imerejea upya lakin mpenz wangu huyu hanijali kama ilivyokua mwanzo kwan sim anapokea kwa kutaka,naweza mtumia sms asubui akajib jioni,kwangu halali tena anakuja na kuondoka tu,cm yake inakua bze sana lakin kwa vile nampenda sipend kumpoteza

Kitu cha kushangazi mwezi uliopita nilimuita na kumwambia nimpeleke dinner sehem fulan hapa mjini dsm alikubali japo kwa kumuomba na kumbembeleza sana. Nilimpeleka kwenye ile hotel bab kubwa hapa mjini.
Kiukweli mm hua naenda kula pale nyakat za mchana hivyo sijui Kama usiku hua kuna wanawake wanajiuza maeneo hayo so nilifika na malkia huyu ninaempenda kwa dhat tukaagiza na kuanza kula na kunywa lakin movement za madada zilikua haziishi yaani ni wazuri ile mbaya waarab,wahind na waafrika mmmhhh kiukweli malikia wangu haingii kwa uzur kwa hawa madada,wanashape balaa,wowowo ndio usiseme hasa hao waafrika then wanasmile muda wote kwa kweli dsm hataree sana
Malkia alivyowaona alitaka kujua ni watu gani kwa vile na mm sikuwa na uhakika niliamua kumuita waiter mmoja anaenihudumia chakula wakat wa mchana mara kwa mara na hvyo nimezoeana nae sana jina lake linaanza na herufi M..na kumuuliza hawa ni watu gani?ndipo alipoamua kunielezea kwa undani zaid kua wanajiuza aisee huyu malkia wangu alistajaab sana na kunitaka tuondoke eneo hilo haraka na kuniambia nisirud tena hapo na akanizuia kupata chakula hapo siku nyingine

Kitu cha kushangaza huyu mwanamke wangu amezidisha mapenzi sana kwangu kuliko hata mwanzo na simu ananipigia mara nane hadi kumi kwa siku mpaka ofisini imekua kero simu zake mara kwa mara,lakin pia kila akitoka ofisini kwake lazima anipitie na atanisubir ata kama sijamaliza kaz mpaka usiku tuondoke wote,na anakuja kwangu mara kwa mara ata bila taarifa na kashachukua ufunguo mmoja wa nyumban kwangu,
Akifika kama sipo atafanya usafi wa nyumba,atanifulia nguo zote na kuzipiga pasi na atapika chakula na kuniambia nirud nyumban ananisubir yaani sasa mpaka nashangaa haya mapenz yameanza lini na amejiweka karib sana hata na ndugu zangu wa karib ambao alikua anawadharau hapo mwanzo
Sasa najiuliza nipeleke mahar kwao kama anavyosisitiza mara kwa mara siku hizi ili nimuoe au niendelee kumchunguza.?kiukweli nampenda lakini hii kasi yake ya gafla baada ya kuwaona hao madada
poa inanipa wasiwasi..
Mchango wa mawazo nipeleke mahari au niendelee kumtazama zaidi ?..leteni ushaur wadau tuone jinsi ya kumshaur rafiki yet..
unachotafuta si unacho au kwa ukitoa mahali kitahamia usoni au... hahahahaha ni maoni yangu lakini sema alijiona chakaramu anavyokulingia kumbe kuna warembo kuliko yeye na bado hawana wanaume bali wanasubiria wanaume wa watu
 
huyo kaachwa na bwana wake aliyekuwa anampenda kuliko wewe ndio maana karudisha majeshi kwako. Kwa ufupi ulikuwa unachapiwa ndio maana simu yake ilikuwa busy. Huyo demu sio mwaminifu kama unataka kumuoa mchunguze kwanza anaonekana hakupendi kwa dhati
umefikiria sana mkuu
 
Mkuu, ungetutajia huo mgahawa uko wapi kwanza, jina tutagoogle wenyewe....! Msosi wa hapo utakua poa sana! Mapenzi hayashauriki mkuu, we mchunguze akimaliza kupretend atarudi kwenye true color
hahaha! umenchekesha sana mkuu, sasa why unadhani huo msosi utakua poa sana??
 
Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys.
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka

Niende moja kwa moja kwenye mada husika kama ifuatavyo
`Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji hapa mjini nina mchumba ambaye tupo kwenye mahusiano kwa miezi saba sasa lakini kitu cha kushangaza mwenzangu alibadilika sana kama miezi minne iliyopita sasa akawa sim hapokei na sms hajib na wasap kaniblock kwa kweli nilijitaid sana kuwatumia marafik zake ili kurudisha mahusiano yetu kwa sababu nampenda sana. huyu mchumba wangu ni muajiliwa katika kampuni moja hapa mjini na mm pia nina kazi nzur na pesa ipo off course.

Baada ya kuangaika sana kurudisha penzi langu lililokua limeyumba namshukuru mungu nilifanikiwa kwa hilo bibie alirud kwangu na furaha ya mapenzi imerejea upya lakin mpenz wangu huyu hanijali kama ilivyokua mwanzo kwan sim anapokea kwa kutaka,naweza mtumia sms asubui akajib jioni,kwangu halali tena anakuja na kuondoka tu,cm yake inakua bze sana lakin kwa vile nampenda sipend kumpoteza

Kitu cha kushangazi mwezi uliopita nilimuita na kumwambia nimpeleke dinner sehem fulan hapa mjini dsm alikubali japo kwa kumuomba na kumbembeleza sana. Nilimpeleka kwenye ile hotel bab kubwa hapa mjini.
Kiukweli mm hua naenda kula pale nyakat za mchana hivyo sijui Kama usiku hua kuna wanawake wanajiuza maeneo hayo so nilifika na malkia huyu ninaempenda kwa dhat tukaagiza na kuanza kula na kunywa lakin movement za madada zilikua haziishi yaani ni wazuri ile mbaya waarab,wahind na waafrika mmmhhh kiukweli malikia wangu haingii kwa uzur kwa hawa madada,wanashape balaa,wowowo ndio usiseme hasa hao waafrika then wanasmile muda wote kwa kweli dsm hataree sana
Malkia alivyowaona alitaka kujua ni watu gani kwa vile na mm sikuwa na uhakika niliamua kumuita waiter mmoja anaenihudumia chakula wakat wa mchana mara kwa mara na hvyo nimezoeana nae sana jina lake linaanza na herufi M..na kumuuliza hawa ni watu gani?ndipo alipoamua kunielezea kwa undani zaid kua wanajiuza aisee huyu malkia wangu alistajaab sana na kunitaka tuondoke eneo hilo haraka na kuniambia nisirud tena hapo na akanizuia kupata chakula hapo siku nyingine

Kitu cha kushangaza huyu mwanamke wangu amezidisha mapenzi sana kwangu kuliko hata mwanzo na simu ananipigia mara nane hadi kumi kwa siku mpaka ofisini imekua kero simu zake mara kwa mara,lakin pia kila akitoka ofisini kwake lazima anipitie na atanisubir ata kama sijamaliza kaz mpaka usiku tuondoke wote,na anakuja kwangu mara kwa mara ata bila taarifa na kashachukua ufunguo mmoja wa nyumban kwangu,
Akifika kama sipo atafanya usafi wa nyumba,atanifulia nguo zote na kuzipiga pasi na atapika chakula na kuniambia nirud nyumban ananisubir yaani sasa mpaka nashangaa haya mapenz yameanza lini na amejiweka karib sana hata na ndugu zangu wa karib ambao alikua anawadharau hapo mwanzo
Sasa najiuliza nipeleke mahar kwao kama anavyosisitiza mara kwa mara siku hizi ili nimuoe au niendelee kumchunguza.?kiukweli nampenda lakini hii kasi yake ya gafla baada ya kuwaona hao madada
poa inanipa wasiwasi..
Mchango wa mawazo nipeleke mahari au niendelee kumtazama zaidi ?..leteni ushaur wadau tuone jinsi ya kumshaur rafiki yet..
Mkuu ushauri umeshapewa, na sisi tunaomba ututajie Jina la iyo hotel tuwapeleke madem wanatulingia
 
Sasa nyinyi mnataka mtajiwe tu jina la mgahawa!!! ahahahah kaazi kweli kweli ndio maana wabongo tunaongoza kwa kuhonga east africa
 
Peleka tu hiyo mahari, usijiulize sana kuwa atabadilika au La kwakuwa ndio tabia za baadhi ya wanawake.
Sasa turudi kwenye mada hivi huo mgahawa upo wapi vile.?
Nakuona mkuu , nakuona unavyotaka umpeleke shemeji yetu ili naye akubadilishie gia angani.
 
Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys.
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka

Niende moja kwa moja kwenye mada husika kama ifuatavyo
`Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji hapa mjini nina mchumba ambaye tupo kwenye mahusiano kwa miezi saba sasa lakini kitu cha kushangaza mwenzangu alibadilika sana kama miezi minne iliyopita sasa akawa sim hapokei na sms hajib na wasap kaniblock kwa kweli nilijitaid sana kuwatumia marafik zake ili kurudisha mahusiano yetu kwa sababu nampenda sana. huyu mchumba wangu ni muajiliwa katika kampuni moja hapa mjini na mm pia nina kazi nzur na pesa ipo off course.

Baada ya kuangaika sana kurudisha penzi langu lililokua limeyumba namshukuru mungu nilifanikiwa kwa hilo bibie alirud kwangu na furaha ya mapenzi imerejea upya lakin mpenz wangu huyu hanijali kama ilivyokua mwanzo kwan sim anapokea kwa kutaka,naweza mtumia sms asubui akajib jioni,kwangu halali tena anakuja na kuondoka tu,cm yake inakua bze sana lakin kwa vile nampenda sipend kumpoteza

Kitu cha kushangazi mwezi uliopita nilimuita na kumwambia nimpeleke dinner sehem fulan hapa mjini dsm alikubali japo kwa kumuomba na kumbembeleza sana. Nilimpeleka kwenye ile hotel bab kubwa hapa mjini.
Kiukweli mm hua naenda kula pale nyakat za mchana hivyo sijui Kama usiku hua kuna wanawake wanajiuza maeneo hayo so nilifika na malkia huyu ninaempenda kwa dhat tukaagiza na kuanza kula na kunywa lakin movement za madada zilikua haziishi yaani ni wazuri ile mbaya waarab,wahind na waafrika mmmhhh kiukweli malikia wangu haingii kwa uzur kwa hawa madada,wanashape balaa,wowowo ndio usiseme hasa hao waafrika then wanasmile muda wote kwa kweli dsm hataree sana
Malkia alivyowaona alitaka kujua ni watu gani kwa vile na mm sikuwa na uhakika niliamua kumuita waiter mmoja anaenihudumia chakula wakat wa mchana mara kwa mara na hvyo nimezoeana nae sana jina lake linaanza na herufi M..na kumuuliza hawa ni watu gani?ndipo alipoamua kunielezea kwa undani zaid kua wanajiuza aisee huyu malkia wangu alistajaab sana na kunitaka tuondoke eneo hilo haraka na kuniambia nisirud tena hapo na akanizuia kupata chakula hapo siku nyingine

Kitu cha kushangaza huyu mwanamke wangu amezidisha mapenzi sana kwangu kuliko hata mwanzo na simu ananipigia mara nane hadi kumi kwa siku mpaka ofisini imekua kero simu zake mara kwa mara,lakin pia kila akitoka ofisini kwake lazima anipitie na atanisubir ata kama sijamaliza kaz mpaka usiku tuondoke wote,na anakuja kwangu mara kwa mara ata bila taarifa na kashachukua ufunguo mmoja wa nyumban kwangu,
Akifika kama sipo atafanya usafi wa nyumba,atanifulia nguo zote na kuzipiga pasi na atapika chakula na kuniambia nirud nyumban ananisubir yaani sasa mpaka nashangaa haya mapenz yameanza lini na amejiweka karib sana hata na ndugu zangu wa karib ambao alikua anawadharau hapo mwanzo
Sasa najiuliza nipeleke mahar kwao kama anavyosisitiza mara kwa mara siku hizi ili nimuoe au niendelee kumchunguza.?kiukweli nampenda lakini hii kasi yake ya gafla baada ya kuwaona hao madada
poa inanipa wasiwasi..
Mchango wa mawazo nipeleke mahari au niendelee kumtazama zaidi ?..leteni ushaur wadau tuone jinsi ya kumshaur rafiki yet..
Huyo alikuwa na danga fulani linaweka busy, sasa wamemwagana ndo maana karudisha majeshi rasmi kwako. Hiyo ya dinner ilikuwa turning point tu.
 
Kwanza ndugu mwenyekuti naunga mkono michango yote ya wajumbe. Kwa kweli wamechangia vizuri sana, na wametoa mchango mzuri sana.
Baada ya kusema hayo na mimi nina kaswali kadogo ila haka naomba kasihifadhiwe kwenye hansard. Je, huo mgahawa uko wapi? (nataka niutumie kwenye hadidu za rejea) Natumai wajumbe wengine wataniunga mkono, na hatutoki mpaka majibu yapatikane.
 
Back
Top Bottom