Asanteni madada poa..mmerudisha furaha yangu

Asanteni madada poa..mmerudisha furaha yangu

kimange

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
1,339
Reaction score
1,299
Mambo vp watu wangu wa nguvu...great thinkers ..i salute you guys.
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri ..lakin kwa ruhusa yake nikamuomba nilete huu uzî hapa ili tujifunze kîtu..tiririka

Niende moja kwa moja kwenye mada husika kama ifuatavyo
`Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji hapa mjini nina mchumba ambaye tupo kwenye mahusiano kwa miezi saba sasa lakini kitu cha kushangaza mwenzangu alibadilika sana kama miezi minne iliyopita sasa akawa sim hapokei na sms hajib na wasap kaniblock kwa kweli nilijitaid sana kuwatumia marafik zake ili kurudisha mahusiano yetu kwa sababu nampenda sana. huyu mchumba wangu ni muajiliwa katika kampuni moja hapa mjini na mm pia nina kazi nzur na pesa ipo off course.

Baada ya kuangaika sana kurudisha penzi langu lililokua limeyumba namshukuru mungu nilifanikiwa kwa hilo bibie alirud kwangu na furaha ya mapenzi imerejea upya lakin mpenz wangu huyu hanijali kama ilivyokua mwanzo kwan sim anapokea kwa kutaka,naweza mtumia sms asubui akajib jioni,kwangu halali tena anakuja na kuondoka tu,cm yake inakua bze sana lakin kwa vile nampenda sipend kumpoteza

Kitu cha kushangazi mwezi uliopita nilimuita na kumwambia nimpeleke dinner sehem fulan hapa mjini dsm alikubali japo kwa kumuomba na kumbembeleza sana. Nilimpeleka kwenye ile hotel bab kubwa hapa mjini.
Kiukweli mm hua naenda kula pale nyakat za mchana hivyo sijui Kama usiku hua kuna wanawake wanajiuza maeneo hayo so nilifika na malkia huyu ninaempenda kwa dhat tukaagiza na kuanza kula na kunywa lakin movement za madada zilikua haziishi yaani ni wazuri ile mbaya waarab,wahind na waafrika mmmhhh kiukweli malikia wangu haingii kwa uzur kwa hawa madada,wanashape balaa,wowowo ndio usiseme hasa hao waafrika then wanasmile muda wote kwa kweli dsm hataree sana
Malkia alivyowaona alitaka kujua ni watu gani kwa vile na mm sikuwa na uhakika niliamua kumuita waiter mmoja anaenihudumia chakula wakat wa mchana mara kwa mara na hvyo nimezoeana nae sana jina lake linaanza na herufi M..na kumuuliza hawa ni watu gani?ndipo alipoamua kunielezea kwa undani zaid kua wanajiuza aisee huyu malkia wangu alistajaab sana na kunitaka tuondoke eneo hilo haraka na kuniambia nisirud tena hapo na akanizuia kupata chakula hapo siku nyingine

Kitu cha kushangaza huyu mwanamke wangu amezidisha mapenzi sana kwangu kuliko hata mwanzo na simu ananipigia mara nane hadi kumi kwa siku mpaka ofisini imekua kero simu zake mara kwa mara,lakin pia kila akitoka ofisini kwake lazima anipitie na atanisubir ata kama sijamaliza kaz mpaka usiku tuondoke wote,na anakuja kwangu mara kwa mara ata bila taarifa na kashachukua ufunguo mmoja wa nyumban kwangu,
Akifika kama sipo atafanya usafi wa nyumba,atanifulia nguo zote na kuzipiga pasi na atapika chakula na kuniambia nirud nyumban ananisubir yaani sasa mpaka nashangaa haya mapenz yameanza lini na amejiweka karib sana hata na ndugu zangu wa karib ambao alikua anawadharau hapo mwanzo
Sasa najiuliza nipeleke mahar kwao kama anavyosisitiza mara kwa mara siku hizi ili nimuoe au niendelee kumchunguza.?kiukweli nampenda lakini hii kasi yake ya gafla baada ya kuwaona hao madada
poa inanipa wasiwasi..
Mchango wa mawazo nipeleke mahari au niendelee kumtazama zaidi ?..leteni ushaur wadau tuone jinsi ya kumshaur rafiki yet..
 
Ameshikwa na wivu ameogopa madada poa watamuibia

Mwambie amchunguze kidogo huwenda ikawa ameona jinsi wanawake wengine wanavyoish wanashida haswa ya suruali alafu yeye anaringa
Labda kaamua kweli kujirudi so asikurupuke ampe muda aone kama hali hiyo ikiendelea fine aweke jiko ndani faster
 
Peleka tu hiyo mahari, usijiulize sana kuwa atabadilika au La kwakuwa ndio tabia za baadhi ya wanawake.
Sasa turudi kwenye mada hivi huo mgahawa upo wapi vile.?
Hahahah mkuu sipend kuarib biashara za watu ndio maana sijapataja
 
Ameshikwa na wivu ameogopa madada poa watamuibia

Mwambie amchunguze kidogo huwenda ikawa ameona jinsi wanawake wengine wanavyoish wanashida haswa ya suruali alafu yeye anaringa
Labda kaamua kweli kujirudi so asikurupuke ampe muda aone kama hali hiyo ikiendelea fine aweke jiko ndani faster
Duuhh ntafikisha ujembe mrembo
 
huyo kaachwa na bwana wake aliyekuwa anampenda kuliko wewe ndio maana karudisha majeshi kwako. Kwa ufupi ulikuwa unachapiwa ndio maana simu yake ilikuwa busy. Huyo demu sio mwaminifu kama unataka kumuoa mchunguze kwanza anaonekana hakupendi kwa dhati
 
Mi namshauri aendelee kumchunguza kwanza
Mwanamke anayeweza kujibadilisha ghafla kwa kasi hiyo ni rahisi kumbadilikia badae pia akishakuwa katika himaya yake

Ila pia inaweza kuwa baada ya kuwaona hao wadada poa walivyo warembo kagundua hawezi kuhimili kumpoteza huyo rafiki yako akaamua aanze kushow love...tatizo kugundua kilicho moyoni mwa mtu ni ngumu
 
Kwa mtazamo wa haraka haraka...
Mwanamke amuone kama hawa wazuri hivi kunishinda mimi, wanhangaika kutafuta wanaume wanuniliwe, yeye anaringia nini sasa...

Ila kuna binadamu wanatabia hizo, hawafanya kitu au hawawili into something mpaka waneuse harufu ya hatari...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom