Asanteni kwa salamu

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Tangu ushindi wa kishindo Igunga tumekuwa tukipokea salamu nyingi za pongezi kutoka pande zote za dunia. Hatuna cha kuwalipa ila tunasema asanteni sana na Mungu awabariki.
 
pumba tupu.amnazo ndio wanaowapongeza kwa ujambazi,au Alshabaab!
 
hongereni nasikia hata AL- QAEDA wamewatumia salamu za pongezi
 
Mtabaki na matusi mitandaoni. Hata kura hampigi, kazi kupiga domo. Na sidhani kama mnakichangia hicho chama kampuni.
Baelezee baelezeeee! Hawa ni mabingwa wa matusi tu humu ndani hawana mchango wowote kwa CDM,, mashujaa halisi ni wale walioko field na wanapiga kura na kuchangia uhai wa chama. Wengine tunachangia matusi na domo domo!!! bwahahahahahahahahahaaaaaaaa:shetani:
 
Tangu ushindi wa kishindo Igunga tumekuwa tukipokea salamu nyingi za pongezi kutoka pande zote za dunia. Hatuna cha kuwalipa ila tunasema asanteni sana na Mungu awabariki.
Mkuzu umeanza kukuwasha ee?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…