whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,572
- 4,455
Hahaahaa apo lazima ule kibuduMbuzi kashafia kwa muuza supu....
Maskini...
Wenye nyumba wengine bhana....Hahaahaa apo lazima ule kibudu
Wenye nyumba wengine bhana....
Kwa hesabu za harakaharaka binti kashahongwa 1.2m.
Khaaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mna Maneno Jamani
Siku na yeye akiwa na shida usisite kumsaidia
Wenye nyumba wengine bhana....
Kwa hesabu za harakaharaka binti kashahongwa 1.2m.
Khaaaa!!
Nawe uwe muungwana kidogo, mtoe lunch...na usisubiri akuombe mzigo mwambie unataka kumshukuruUmeona eeh [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nawe uwe muungwana kidogo, mtoe lunch...na usisubiri akuombe mzigo mwambie unataka kumshukuru