Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

Tittle haiendani na ulivomaliza vipi?
 
Umevamiaje mtu kwenye whatsapp
 
Ni moja ya sababu za uchumi wa Tz kudorora. Mambo ya msingi yanafanyika ki-WhatsApp WhatsApp. Tuna safari ndefu sana.
 
wadada mna matatizo pia. Nimekutongoza umenijibu NOOO... Umeona sikufai.
Nimepata mwingne, unakuja unaniita baby.
Sasa mi nifanyeje.
Sina namna, inabidi nifanye maamuzi magumu.
EXPERIENCED..!
 
Siku nyingine jifunze kutuweka akilini au mahali pengine popote...

Lakini huko moyoni subiri hadi utapopata mume ndio anayestahili kukaa huko...

Umeelewa??

Hahahahaaa think like a man and act like a woman raha sana huwezi kutana na shida kama za bidada.
Kwa sie tuliokubuhu haisumbui unakohoa unatema kohozi unafukia na mchanga unakanyaga unasonga mbele kwa mbelee........
 
Kasie wengine mioyo yao bado brand new haijawa bado na.matobo matobo...

Hivyo akimtia mtu huko ndani hata hachoropoki...

Hahahahaaa think like a man and act like a woman raha sana huwezi kutana na shida kama za bidada.
Kwa sie tuliokubuhu haisumbui unakohoa unatema kohozi unafukia na mchanga unakanyaga unasonga mbele kwa mbelee........
 
Hivi huoni hata aibu kueleza jinsi akili yako ilivyo kweli one year kwa style hii mtaliwa sana daah kuweni makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…