Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

Ngoja nikatie maji nywele zangu na mie maana mmh!
 

Sasa mbona heading na content ya thread ni one people different color? Ila siku nyingine usikurupukie mapenzi ya mtandaoni,jipe mda wa kujuana vya kutosha la sivyo mtaishia kugegedwa na kutemwa kama G, sawa Sawa?
 

hapo kwenye herufi kubwa pamenichekesha kweli...
 
Mbona heading na content haviendani nilifikiri unashukur wassup kukupatia mpenzi kumbe n kisaa pole mam next time uwe na akili
 
Mbona heading na content haviendani nilifikiri unashukur wassup kukupatia mpenzi kumbe n kisaa pole mam next time uwe na akili
Invisible check heading ya hii kitu naona imekaa kinyumenyume, halafu naomba unipe access ya kule ukubwani pale down. Thanks!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama akili yangu imekataa kukuelewa? uwe na mtu mwaka hajawahi kukupeleka nyumbani kwake na bado tu hujijui kama jamaa anajipigia tu aende zake basi kichwa chako kina matatizo.

Mkuu mbn wang niko nae miaka mitano na cjapeleka hom??
 
Unapompenda mtu huwezi kucontrol feelings, na sisi wanawake tukipenda kweli tunajiweka mzima mzima, ndivyo ilivyo. Jamaa alitakiwa awe muwazi ili bidada aelewe kabisa ni aina gani ya mahusiano anayoingia.
taty uko vizuri
 
Last edited by a moderator:

Hii adhabu imenifanya nitetemeke vidole vyote
 

Hahaaa, basi mi sijaoa nilikudanganyaga tu bana, ila nina watoto 2, ndo nimekwambia ukweli sasa ivooooo!!
 
Hahahahahahaaaa wewe mwenyewe umekiri kuwa hukuwa na nia naye, na kwamba hakuwa love at first sight so what did you expect from him????????????
 
Hii adhabu imenifanya nitetemeke vidole vyote
Ndio hivyo huu moto wangu ukidanganya umeungua
duuuh huo mkwara 2 wa2 wanakukana n unakua mpole
ha ha sio mimi etiiii mimi simvumilii mwanaume mwongo.
Hahaaa, basi mi sijaoa nilikudanganyaga tu bana, ila nina watoto 2, ndo nimekwambia ukweli sasa ivooooo!!
ha ha ha swahibaaaaa...sema wew siwez kukupiga kwa huruma.
hapo kwenye herufi kubwa pamenichekesha kweli...

cheka tuu ila usiwe unadanganya
 

mbona heading na passage haviendani? lkn si hajawahi kukutongoza ila kukuandikia ujumbe only once? imekuwaje ukamweka moyoni kiasi hicho hata hajasema lolote na wewe? ubatisha weww
 

Please usije kunipiga bure,nakwambia ukweli sasa nimeoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…