Kwangu ipo ivyo.......napenda bundles za voda maana zinakaa,airtel,Tigo na halotel zinatoa MB nyingi ila unaweza kuwa na GB 3 hao wengine,ila zinaisha Kama upepo na kuyeyuka tu......ila vodacom zinaenda kihalali
Mkuu kutakuwa na makosa makubwa sana kama ndiyo hivyo. Chukulia mfano TBL amuuzie main distributor bei yake,then amuuzie tena final consumer bei ya chini kabisa. Distributor atafanya biashara kweli