jana tbc wanasema wanataka kufanya biashara ya kuuza ving'amuzi vyao so mechi zitaonyeshwa tbc 1 chache na nyingi tbc 2 ili kuwlazimisha watu wanunue vingamuzi pia tbc 2 itakuwa ni chaneli ya bure kipindi cha world cup siyo kulipia tena
Hii nchi bana urasimu kila sehemu yaani ving'amuzi vimejaa sebuleni unaweza ukasema nafanya kazi TCRA sijui,,kwanza Nyanya kibao ni bora ujiwekee DsTv tu
we unafikiri ni king'amzi gani chenye local channels za Tz tu? Mf Azam ana za Tz,Uganda na Kenya, na unaweza ukaongeza satelite ukaongeza chnl nyingine. Labda unataka usikie kiswahili tu lkn mengine porojo tupu. NB wasiwakoseshe haki watanzania ambao hawajapelekewa huduma digital tv.