Asante STARTIMES,mechi 64 World cup!

Asante STARTIMES,mechi 64 World cup!

mkayala

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
555
Reaction score
72
Tunashukuru sana Star Times,kwa kupanga kutuonenya mechi za kombe la dunia zote 64 buree...
 
Live mechi zote,angalia uzi unapita pale juu.
 
TBC1 ndio maana wamesema bure.

jana tbc wanasema wanataka kufanya biashara ya kuuza ving'amuzi vyao so mechi zitaonyeshwa tbc 1 chache na nyingi tbc 2 ili kuwlazimisha watu wanunue vingamuzi pia tbc 2 itakuwa ni chaneli ya bure kipindi cha world cup siyo kulipia tena
 
Tunashukuru sana Star Times,kwa kupanga kutuonenya mechi za kombe la dunia zote 64 buree...
Akili zako zinafanana na za mshana!!!.... kinachokufanya ushuru hapo ni nini? watu wengine bwana sijui akili zao zipoje....watu tunalia kodi zetu zinazoliwa na hao unaowasifia halafu wewe ukakurupuka na kuanza kusifia ujinga ujinga hapa, chunga sana adabu yako we kijana watu tuna uchungu na kodi zetu tunazolipa kila kukicha.
 
jana tbc wanasema wanataka kufanya biashara ya kuuza ving'amuzi vyao so mechi zitaonyeshwa tbc 1 chache na nyingi tbc 2 ili kuwlazimisha watu wanunue vingamuzi pia tbc 2 itakuwa ni chaneli ya bure kipindi cha world cup siyo kulipia tena
sasa wataviuzaje kama zote tbc1 na 2 zitakuwa bure!
 
Unaambiwa tbc 1 watachagua mechi za kuonyesha....
sawa watachagua mechi za kuonesha,at the same time tbc2 itakuwa free kipindi chote cha mashindano!au TBC2 haipatikani kwenye ving'amzi visivyo vya startimes?
 
sawa watachagua mechi za kuonesha,at the same time tbc2 itakuwa free kipindi chote cha mashindano!au TBC2 haipatikani kwenye ving'amzi visivyo vya startimes?
ndio maana yake, TBC 2 INAPATIKANA STAR TIMES PEKE YAKE
 
TBC NA STARTIMES wanahijack wananchi mara wamezima mitambo ya analogia,mara kombe la dunia lazima ununue kingamuzi
 
sinunui huo ujinga wenu na mpira nitaangalia kwa LAZIMA!
 
sasa wataviuzaje kama zote tbc1 na 2 zitakuwa bure!
TBC 1 inaonekana kwenye vingambuzi vyote bure. Tbc 2 haionekani kwenye vingambuzi vingine bali kwenye startimes tu,na TBC 2 ndio wataonyesha mechi nyingi. Hivyo kuiona utatakiwa ununue kingambuzi cha startimes.
 
Nani wa kununua huo ujinga wako? mgawane nyinyi wenyewe wazee wa chama cha kijani, sisi kama kawa tutaona world cup kupitia azam tv....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom