Lukanka
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 518
- 538
jana tbc wanasema wanataka kufanya biashara ya kuuza ving'amuzi vyao so mechi zitaonyeshwa tbc 1 chache na nyingi tbc 2 ili kuwlazimisha watu wanunue vingamuzi pia tbc 2 itakuwa ni chaneli ya bure kipindi cha world cup siyo kulipia tena
Huku Mwaza Tbc2 tunaipata kama local channel ina kama wiki mbili ipo hewani through Startimes