Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
ina maana hujawahi sikia kiwanda feki cha simu hapa Tanzania?Kama ishu ya Mwendokasi inatutoa povu, tutaweza kuaseamble smartphone phone mkuu?
https://www.jamiiforums.com/threads...smartphone-cha-kiwalani-kisirasimishwe.892266
Tanzania na kenya kuna viwanda vingi tu mara kwa mara vinakamatwa, kupachika vitu sio kazi sababu kama fundi anatoa spika na kuitengeneza akiletewa motherboard atashindwa vipi kueka spika mpya?
angalia video hii kazi za wachina

