Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

... hakika falsafa zake zitaishi for ever and ever! Hahitaji kujenga madaraja au kula mahindi ya kuchoma mabarabarani ili ku-keep legacy, falsafa na ideology zake ni zaidi ya "legacy"!
Amina Amina
 
Kweli kabisa "Dikiteeta" aliishakufa kipindi kirefu. Mimi namaanisha "DIKTETA MBOWE" wa Chadema! Ahahahahahahahahah!!!
Huwa nashangaa Sana siasa za chuki

Mbona zamani tuli enjoy sana kwenye siasa

Weekend ukichoka unaenda kusikiliza operesheni Sangala jinsi Padri Slaa anashusha nyundo zinazokuuma na kutamani kuwakamata Mafisadi wote

Ukichoka tena unaenda kusikiliza Marehamu Capt John komba

Komba anaimba hata ukiwa huna chama unapenda madongo ya nyimbo zake

Siasa ni Furaha Bwana

CCM hata kama walikosa hoja lakini nyimbo za Komba inakuamsha wakipita mtaani Bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni saa sita mchana toka angalia, Siamini kabisa kuhusu hii kauli.

Mda sio mrefu mtaanza kusikia hakuna kama wewe hivyo endelea tu Baba...Mbowe sio wa kustaafu siasa leo.
 
Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.

Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525
Kazi kubwa hii!
IMG_20210605_055756.jpg
 
Huyu jamaa akishatoka kwenye kiti chake, sijui kunguni wataishije!
 
Huwa nashangaa Sana siasa za chuki

Mbona zamani tuli enjoy sana kwenye siasa

Weekend ukichoka unaenda kusikiliza operesheni Sangala jinsi Padri Slaa anashusha nyundo zinazokuuma na kutamani kuwakamata Mafisadi wote

Ukichoka tena unaenda kusikiliza Marehamu Capt John komba

Komba anaimba hata ukiwa huna chama unapenda madongo ya nyimbo zake

Siasa ni Furaha Bwana

CCM hata kama walikosa hoja lakini nyimbo za Komba inakuamsha wakipita mtaani Bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
... kwa nchi hii, baba wa chuki, uongo, uzandiki, ufedhuli, husda, kijicho, majivuno, dharau, na mengine yafananayo na hayo anafahamika.
 
Matokeo yake kafa yeye lkn cdm bado inadunda
Anazuga tu anatengeneza maigizo ili aonekane hakuna mwenye uwezo ili yeye andelee matapeli ya kisiasa tuna uzoefu nao sasa kwanini asingemuachia mwambe au sumaye!
 
Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.

Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525
Mtoa mada ni mpumbavu, huna akili.
 
Mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni saa sita mchana toka angalia, Siamini kabisa kuhusu hii kauli.

Mda sio mrefu mtaanza kusikia hakuna kama wewe hivyo endelea tu Baba...Mbowe sio wa kustaafu siasa leo.
Hata wewe umeshutkia maigizo ya madkteta wote ndivyo walivyo!
 
Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.

Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525
Magufuli amekufa ameiacha chadema inadunda
 
Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.

Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525

Ntamkumbuka sana huyu mwamba! japokua utan wa apa na pale ila he is very smart hajawahi kuisemea nchi vibaya hata sku moja
 
Back
Top Bottom