Asante Rais, sisi vijana wa Jeshi la Magereza tunataka kiongozi atoke JWTZ

Uhuru Cape

Member
Nov 1, 2016
48
124
Mh. Rais kauli yako ya jana imefurahisha vijana wengi askari wa Magereza kwa kufikilia kutuletea mkuu kutoka JW. Kwa muda mrefu askari vijana wanaombea sana hiyo kitu itokee.

Tangu nimetoka JKT kuja huku nilitamani sana mkuu atoke huko kutokana na viongozi wa huku wengi kukosa kujiamini na kujisimamia na manyanyaso kwa askari na kuwaharibia wengi maisha.

Ombi: Unapotuletea mkuu kutoka huko naomba asije peke yake umuongezee nguvu hata ya watu wa huko huko JW wasiopungua 15 mana kuna viongozi wako pale makao toka enzi na enzi hawajawahi kuhama, hawajui mfungwa yukoje wala gereza likoje wao ni ujanja ujanja tu.

Mimi binafsi nampongeza sana CGP KASIKE anafanya kazi mno na anajitaidi sana tatizo wasidizi na washauri hakuna hapo juu. Wao wamejikita sana katika sheria kandamizi kwa askari na si uzalishaji. Huyu mkuu angepata wasaidizi wenye dhamira kama yake tungesonga mbele.

Asante sana Rais endelea hivyo hivyo haiwezekani ujenzi una miaka miwili umefikia 45% tu. Mungu akubariki sana Rais vijana tumewamiss wazee wa vibeto.
 
Tunafanya vitu vingi kwa mazoea sana ndio Tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mkubwa mmoja anaishi goba asee analindwa na askari nyumbani kwake zaidi ya 20 kila siku asbh tunapishana nae barabara ya mwendo kasi na askari wake
 
mpe ya kaizari yaliyo ya kaizari .... Magereza siyo jeshi ni kituo cha kurekebisha tabia (correctional services facility) ..... ni tofauti kabisa na JWTZ kiuendeshaji .... uongozi wake unahitaji mtu mwenye weledi unaoendana na maisha ya kijamii na siyo kijeshi/Askari ..... tusiendelee kukurupuka tutajutia baadae
 
Kuna hoja kubwa hapa ambayo wengi hatuiweki mbele. Nimepata elimu hapa
 
Colnel mbuge sooon atapandishwa kuwa brigedia na kupewa shavu la mkuu wa magereza siku nyumba zinakabidhiwa
 
mpe ya kaizari yaliyo ya kaizari .... Magereza siyo jeshi ni kituo cha kurekebisha tabia (correctional services facility) ..... ni tofauti kabisa na JWTZ kiuendeshaji .... uongozi wake unahitaji mtu mwenye weledi unaoendana na maisha ya kijamii na siyo kijeshi/Askari ..... tusiendelee kukurupuka tutajutia baadae
Magereza ni jeshi. Acha upotoshaji. Sema majukumubyake ni tofauti.
 
mpe ya kaizari yaliyo ya kaizari .... Magereza siyo jeshi ni kituo cha kurekebisha tabia (correctional services facility) ..... ni tofauti kabisa na JWTZ kiuendeshaji .... uongozi wake unahitaji mtu mwenye weledi unaoendana na maisha ya kijamii na siyo kijeshi/Askari ..... tusiendelee kukurupuka tutajutia baadae
Haswaaaa,si jambo la kuchekelea hata kidogo
 
Wazee wengi wa magereza hawakupita jkt tofauti na vijana wa kwnzia 2011 wote wamepita jkt ndo wakaja magereza....Ndo mana jeshi linaendeshwa kiraia kutokana na wakubwa wengi hawakupitia jkt ....Ni vizuri CGP akitoka jwtz na asije peke yke aje na wasaidiz hata 10 ili kunyoosha hili jeshi mana wazee wengi wa magereza kazi yao nikuonea askari wadogo na kuwatafutia charge zisizo na mpango wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magereza wamekosa vyanzo vya mapato tofauti na wenzao wa khaki zaidi ya kulima mboga za majani wanapoona fedha za miradi zimeelekezwa kwao wanawaza kuiba.
 
Back
Top Bottom