Asante Rais Putin kwa kutuondolea makelele ya Corona

Afadhali na CCM waliosema CHANJO ni HIYARI.

Kamanda Mbowe Alisema wananchi wote wakamatwe na kuchanjwa Kwa lazima.

Ktk issue ya corona, CDM walitusaliti wananchi.

Magufuli Ubarikiwe sana. Ulitusaidia kuepuka hatari.
Mbowe ni DJ msitaafu kwake yeye kila kitu sawa tu
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?

Angetuondolea na propaganda za huu mwingine Kagera ingependeza zaidi
 
Umeshaondoka tayari

Kwani siku 21 zimeshapita? Au ni kwa mujibu wa yale mambo yetu?

IMG_20211211_082805_567.jpg
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?

Naona umepigwa ban umeamua kuja na id nyingine, kila saa unaanzisha uzi mpya.
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?
Lyapug'hile kabisa.
 
Ni kweli kabisa, tena tetekuwanga ndio ulikuwa mbioni kuanza upya Duniani walahi!
Vladimir Putin Mwenye Enzi Mungu aendelee kukupa uzima na nguvu ya kuwa sambaratisha NATO MAVI MAVI!
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?
Putin ametoa hadi coronavirus kwenu hapo braza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom