Katika Wajinga, nafikiri na wewe umo. Jina Nyerere ni wapi nilitaja. Changia mada iliyopo mezani. Kwamba eti kwa sababu tuliendea ujamaa ndiyo maana mimi siko porini na kwamba tungefuata sera za Kiwastani kama za Sweden au Norway basi mimi au familia yangu ingekua maskini ni hoja mufilisi. Haina mashiko. Kipekee lazima niseme Mzee Mwinyi atakumbukwa kwa Legacy ya kuruhusu bidhaa kuingia kutoka nje. Kama wewe hukubali siwez kukulazimisha. Lakini pia siwezi kukulazimisha kuwa ujamaa ulifika kipindi ukashindwa, siyo Tanzania tu hata huko China, ilibidi Mtu mmoja abadili kidogo maono ya Mao, na akachanganya Ujamaa wa Uwekezaji. Hadi leo, baada ya Mao, huyo ni mtu ni wa pili kwa kuwa na heshima nchini China. Kumbuka huyo alipingana kifalsafa na Mao ingawa wote ni Wajamaa.Mjo
Mjomba nani alikwambia mwinyi aliufuta ujamaa? Na kwa akili yako ndogo Unaona Ujamaa ni siasa hovyo kabisa lakini kumbuka kama si Ujamaa baba yako asingekuwa Kafka mjini na c ajabu ungekuwa maporini unawinda na kula matunda.
Kwa akili yako Unaona wote wanaomuenzi NYERERE hawana akili na hawajitambui? Hata hao mnaowasifu na kuwaona wametupita kimaendeleo wanamthamini kuwa alikuwa kiongozi thabiti pamoja na Elimu zao na hayo unayoona maendeleo waliyonayo.
Kwani mwinyi hawamuoni na hawamfahamu? Mbona hawa mtaji wala kumualika kwenye shuguli zao za ki taifa kama kweli ni Jabari la uongozi?
Acha ujinga dogo soma uelimike ufaham Dunia na mfumo yake ya maisha na unapoambiwa fulani anaenziwa jaribu kujitafakari na kujifunza ni kwa nini iwe hivyo. usiibuke na mipasho na viduku ukafikirl sote wajinga.