Asante rais Kikwete, Tutakukumbuka

Asante rais Kikwete, Tutakukumbuka

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,069
Reaction score
713
Kwa wale wenyeji wa mikoa ya pembezoni hasa kanda ya magharibi wataungana na mimi katika kumpa hongera Rais Kikwete kwa kuwa ndiye Rais pekee tangu Tanzania izaliwe kuikumbuka mikoa hii. Itakumbukwa kuwa mikoa ya Kagera, Kigoma Tabora na Rukwa ilikuwa km mikoa ya nchi jirani, ilikuwa ni rahisi kupata mahitaji kutoka nchi jirani kuliko mikoa jirani hasa katika swala la miundo mbinu. Kwa muda mrefu wananchi wa mikoa ya kigoma, Rukwa/katavi na Kagera wamekuwa wakitumia masaa zaidi ya 30 kufika Dar es salaam. Marais waliopita wote walikuwa wakiangalia sana mikoa ya kaskazini, kila mwaka kwenye bajeti ilikuwa ikisikia kutengwa pesa nyingi za miundombinu kwa mikoa ya Arusha, Moshi, Dar na n.k km vile wananchi wa mikoa hii ndiyo waliokuwa walipa kodi pekee. Lakini serikali ya Rais Kikwete imejitahidi kutenga bajeti ya barabara katika mikoa hiyo na muda si mrefu wananchi wa mikoa hii wataanza kufaidi matunda ya uhuru km wengine.

Lakini haya yote hayakuja kirahisi ni baada ya kutumia vizuri sanduku la kupiga kura, hivyo serikali ya Kikwete kushtuka. Angalia data hapa chini.

CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA18,33653.69
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM13,48039.47
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI5381.58
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF4571.34
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO3431
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP660.19
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP500.15
SPOILT VOTES8822.58
TOTALS34,152100
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA22,69846.44
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM22,21945.46
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI1,1322.32
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF7021.44
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5831.19
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP1360.28
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP920.19
SPOILT VOTES1,3152.69
TOTALS48,877100
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA27,22457.43
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM17,50636.93
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO6031.27
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF4310.91
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI3680.78
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP890.19
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP750.16
SPOILT VOTES1,1062.33
TOTALS47,402100
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM15,60946.27
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA15,52146.01
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5121.52
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI3190.95
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF3000.89
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP950.28
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP580.17
SPOILT VOTES1,3203.91
TOTALS33,734100
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA20,98146.38
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM20,39445.08
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI7081.56
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO6851.51
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF6211.37
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP1020.23
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP1010.22
SPOILT VOTES1,6503.65
TOTALS45,24210

[TD="colspan: 4"] WILAYA YA KASULU [/TD]

[TD="colspan: 4"] KASULU MJINI [/TD]

[TD="colspan: 4"] KASULU VIJIJINI [/TD]

[TD="colspan: 4"] MANYOVU [/TD]

[TD="colspan: 4"] WILAYA YA KIBONDO [/TD]

[TD="colspan: 4"] BUYUNGU [/TD]

[TD="colspan: 4"] MUHAMBWE [/TD]

Data source: Tume ya taifa ya uchaguzi
 
Kwa kuwa hakushinda kwenye hayo majimbo ulitaka wasijengewe barabara!! Kwa akili yako unafikiri JK anatoa pesa mfukoni mwake. Kama kupewa kura nyingi kwa ajili ya maendeleo JK angepata kura nyingi mikoa ya kaskazini. Isitoshe si wananchi wote waliopiga kura, JK alichaguliwa na watu milioni 6 kati ya waliojiandikisha milioni 20 and so haiwezekani aka target hao milioni 6, unafikiri atafanyaje(How). Uchaguzi ni demokrasia tu, hahitaji kutengeneza visasi kwa wananchi kama hawajakuchagua as pesa ni za walipa kodi wote hata ambao hawajakuchagua.
 
Back
Top Bottom