Asante mwanamke

indelible

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
652
Reaction score
301
Salaam!

Najivunia kuwa mwanaume, najivunia kila kitu chema nilichonacho. Lakini mimi ni nani ikiwa kuna mtu mwema aliyekubali kunibeba tumboni mwake mpaka nikawa mtu!

Kwanini basi nisimwambie ASANTE!...Watu hawa wema na wenye huruma na wavumilivu sana wapo walio tubeba kwa hiari, wapo waliotubeba kwa shuruti, wapo waliotubeba kwa visasi, wapo walio tubeba kwa hali tofauti tofauti ikiwemo n jinai.

Leo sina zaidi ya kuwaambia tena thank you for everything that you’ve ever done. It’s way too much to count! May your blessings be countless also!

Sio mlaumiwe tu utadhani hamna thamani!

Angalizo: Hii haiwahusu walotoa Mimba! Kwa kukusudia kuuwa...(kunawalio lazimika kwa kulinda uhai hao sina shida nao)

Kama ulishatoa kwa nia ovu niambie hapa ili nikufanyie maombi ya upatanisho kabla ya umauti kukukuta.

MWANAMKE ASANTE!
 
Wanaume wa jf hii kasi mliokuja nayo ya kutusifia hadi tunaogopa sasa lol
 
Wanaume wa jf hii kasi mliokuja nayo ya kutusifia hadi tunaogopa sasa lol
Mlisha zoea mitusi mpaka mkisifiwa matumbo yanawasokota hahaha we kula hiyo compliment kama unahusika!
 
Comment yako inadhihilisha ulisha dhamini utoaji mimba!
sembe at work.
siwezi kukisifia hiki kiumbe labda nikiwa nataka mgegedo wake nikipata tu off i go.mungu wao alishakufa long sana wamebakia na shetani tu
 
karibu tena tupo kwa ajili yenu.. na bado mnatunyonya wanawake .. na bado mkiwa mkubwa tunawabeba kifuani
 
Mlisha zoea mitusi mpaka mkisifiwa matumbo yanawasokota hahaha we kula hiyo compliment kama unahusika!
Sio kuzoea matusi kwa leo hii ni thread kama ya nne hivi kusifia wanawake sioni bure kuna kitu
 
Mmmh hapa kuna kitu sio bure, au mnajipanga mashambulizi ya pm
Mjipange tu kusaliti ndoa zenu"wengne kuolewa kabisa ths year
alaf mbona Pm yko inazingua nishakuchekigi sana ngoja nikueleze tu leo " au ni message zangu unakaushaga? Et
 
Mjipange tu kusaliti ndoa zenu"wengne kuolewa kabisa ths year
alaf mbona Pm yko inazingua nishakuchekigi sana ngoja nikueleze tu leo " au ni message zangu unakaushaga? Et
Ulituma msg dry au iliongozana na xyz imethibitishwa umepokea hela ya lunch kutoka kwa mwanajf mwenzio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…