Asante Mungu, nimepata ajira

Asante Mungu, nimepata ajira

Hongera sana kaka, uvumilivu ndo kila kitu. Only God knows when and where to give you his grace. Binadamu sio wa kutegemea, wakati mwingine hata ndg yako anaweza kukunyima kazi. Ngoja na sisi tusubili fungu letu, Mungu atuongoze.
 
Kama Kweli Unakiri Kuwa Mungu Ndo Amekupa iyo kz, uckose kutoa fungu la kumi, mungu pia akupe neema ya ku2mia pesa vzr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom