Asante Mungu, nimepata ajira

Asante Mungu, nimepata ajira

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,697
Reaction score
9,051
Wakuu hii inshu ya kuwa jobless isikie tu kwa wengine

Nimehangaika sana yani nilionekana sina thamani ktk jamii nimesoma nina akili nipo very brighy lakini sina kazi yani hakukuwa na tofauti kati ya mm na dogo aliyepata zero 4m 4 maana wote tuko kitaa ila baada ya kuhangaika muda mrefu.

finally sir God kajibu with fire nw nimepata kazi nzuri tu mshahara safi si haba unanitosha kwakwei namshukuru sana sana Mungu pamoja na wazazi wangu kuniombea na kunisapoti wakati wote wa kipindi hicho kigumu.

Watu madhubuti hudumu shida na tabu ni vya muda tu
 
Asante Mungu ujibuye maombi ya watu wako. Asante kwa kusikia kukio cha mjoli wako mtzmweusi. Amen

Asante sana mkuu hakika God's time is the best sijui Mungu alikuwa ananifundisha nn nina wadau wakubwa ktk maofisi mengi lakini sikupata msaada wowote nimekuja kupata kazi bila msaada wa mtu yoyote
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu hakika God's time is the best sijui Mungu alikuwa ananifundisha nn nina wadau wakubwa ktk maofisi mengi lakini sikupata msaada wowote nimekuja kupata kazi bila msaada wa mtu yoyote
Hongera… unaona ulichofanyiwa na wadau hao maofisini! Nakushauri, usiwe kama wao! Mtu akikujia ana shida… unamfahamu au humfahamu msaidia mpaka tone lako la mwisho! Atakutangaza kwa wema! Mungu akubariki saana!
 
mkuu kweli Mungu ni wa kushukuliwa!umenikumbusha mbali ulivosema ur so bright n una ndgu kibao lakin hawasaidii chochote!inapain sana hii kitu!ila Mungu yupo
 
Hongera and if yo Christian basi kumbuka kutoa fungu la kumi kwny mshahara wako wa kwanza.. ni vizuri zaidi
 
Asante Mungu maana hata mimi nimepata kazi ya General Manager, na nimeianza jana. Chuo nilimaliza July 2014. Uhimidiwe Jehova.
 
Hongera mkuu kwa kupata kazi, hakika Mungu ni mkuu na hamtupi mja wake amuombaye bali anadeliver kwa muda wake. Hivyo huu ndo muda ambao Mungu alikupangia. Be blessed and work hard.
 
Ni kweli mkuu masai dada hata bill gates hela zote alizonazo hazimtoshi ndo mana anaendelea kutafuta lakini hata hicho kidogo nachopata namshukuru mola kwa hicho

mshukuru Mungu
ila uraanza kuwaza kuwa na kasehem kenhine kakuingizia ela kwa kutumia mtaji wa mshaara
utaanza kufanya hiki na kile
Mshaara hautoshagi
 
Last edited by a moderator:
Usisahau kutoa sadaka ya shukrani,,, Kumbuka Moyo Usio Na Shukran Ukausha Neema zote,, Nenda Kamshukuru Mungu!
 
Hongera mkuu,sifa zote njema ni za Mungu,fanya kazi kwa bidii,weledi na uaminifu

But nimeshangaa kusoma kuwa umesoma una akili upo very bright
Nani alikwambia upo very bright?

Huoni kitendo cha kumaliza chuo na kukosa kazi na still ukakaa mtaani,ukisubiri kuajiriwa ,ukishindwa kutumia mafursa mengi mtaani huko hadi unajilinganisha na form four aliyefeli ni evidence kwamba wewe una uwezo wa kawaida tu?
 
MAISHA NI KAZI
Ukitafuta kazi
Ukapata kazi
Fanya kazi

Ukiona kazi
Kufanya kazi
Acha kazi

Uone kazi
Ilivyo kazi
Kuishi bila kazi.

Hongera mkuu,mungu ni mwema kwa wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom