Mkuu umewaza vizuri sana. Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi,
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa...
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
Kumbuka tunapokezana next life ukirudi hapa Duniani baada ya kufa Mungu anakurudisha kama Mwanamke na pia utamshukuru sana kwa kukuumba Mwanamke!!!Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi,
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa...
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
Kabisa mkuu yaani hata sisi wanawake tunashukuru kuumbwa wanawake maana tunaona kama kuwa wanaume ni kazi kwa kifupi ni kwamba kila jinsia ina masahibu yakeHomones zingekubadilisha tu nakufanana na jinsi yako, kama sasa ulivyo mwanaume unaongozwa na homones za kiume hivyo huoni tabu kuwa mwanaume, hata hao wanawake wanaongozwa na homones za kike hivyo hujikubali kwa uwanawake wao
Sasa mbona mnawataka wao wakubali wakati hata ingekuwa ninyi msingekubali??Mkuu umewaza vizuri sana. Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.
Mmh hivi huu uongo huwa mnauamini kabisa??Kumbuka tunapokezana next life ukirudi hapa Duniani baada ya kufa Mungu anakurudisha kama Mwanamke na pia utamshukuru sana kwa kukuumba Mwanamke!!!
Halafu bado kuna wanaume wanataka wanawake wao wawasaidie majukumu ya kutafuta pesa na kuhudumia familiaDaah ukute kuna njemba ingetafuna papuchi yangu na kunikunjakunja halafu inasepa
Duuh kuolewa kumtumikia mwanaume kumfulia kumpikia akutafune kibaya zaidi uchungu wa kuzaa duuh manyonyo yanyonywe yawe kama ndala
Daah kuvuja damu kila mwisho wa mwezi aargh alafu naskia wanapata maumivu
Bora nimezaliwa mwanaume
Tena ungekuwa sa hizi mahali umemanua miguu huko uwanja wa fisi unachezewa na waleviHivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi.
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa.
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
Acha tu wengine hawaombi wanakuletea dyudyu 0713 kisa amekupa pesa zakeUmeona kazi hiyo
Alafu umevaa mini kali,Umeona kazi hiyo
Huko padri nae anakupiga miti mbayaa, sio mapadri wote lakiniMkuu umewaza vizuri sana. Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.
Nikweli kwamba zamani katika mila za Wachaga baba alikua haudhurii kwenye sherehe ya harusi ya binti yake? Kwamba eti baba anajiuliza namsindikiza binti yangu mwenyewe kwenda kufanywa nini!!!?Ni kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyokuumba!
Hilo silijui Mkuu..Nikweli kwamba zamani katika mila za Wachaga baba alikua haudhurii kwenye sherehe ya harusi ya binti yake? Kwamba eti baba anajiuliza namsindikiza binti yangu mwenyewe kwenda kufanywa nini!!!?
Sakayo naomba leo unithibitishie kama kweli kulikua na mila kama hiyo Uchagani au maneno ya uzushi na kutaniana kitaa tu?
Tuko hapa mkuuWanaume wa mikoan tufahamiane [emoji119]
Ooh kumbe! Sorry sana mamiiHilo silijui Mkuu..
Mimi sio wa kipande hiyo!
Aise hiyo ata BK bado ipoNikweli kwamba zamani katika mila za Wachaga baba alikua haudhurii kwenye sherehe ya harusi ya binti yake? Kwamba eti baba anajiuliza namsindikiza binti yangu mwenyewe kwenda kufanywa nini!!!?
Sakayo naomba leo unithibitishie kama kweli kulikua na mila kama hiyo Uchagani au maneno ya uzushi na kutaniana kitaa tu?
Halafu bado kuna wanaume wanataka wanawake wao wawasaidie majukumu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia
Hicho wanachokiogopa hao wazee kinafurahisha sana. Lakini mila lazima zidumishwe mkuu🤣🤣🤣Aise hiyo ata BK bado ipo