Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Allah amtilie wepesi
 
Hongera sana mkuu jitahd sana usichepuke kwani zinaa ni deni na lazima lije lilipwe ima kwa mke wako au ndugu wa karibu.Kuwa makini sana mkuu.
Naam ni kweli mkuu, Allah asituhukumu kwa makosa yetu! atusamehe dhambi zetu
 
Binafsi mke wa kusali hivyo usiku wa manane, mcha Mungu sana, too innocent naona hatutaendana. Kweli kila mtu na ubavu wake.
Duh! ni kweli lakini kila mtu na ubavu wake kaka
 
Aamyn aamyn! Swadakta mkuu.

By the way amejifungua leo na sasa nami ni baba
 
Sasa mzee mwezangu miaka mi3 tu Mimi nilikaa na miaka 6 mwisho wa siku akazingua endelea kumuomba mungu ila ujue kabisa mwanamke ni bomu muda wowote linakulikupia
Ila kweli miaka 3 ni michache sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…