Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Mwenyezi Mungu awabariki Furaha ikawe ndio Nuru ya familia yenu

Mpende sana mkeo pamoja Na mwanao pia

Mungu ampigania ajifungue salama
 
Sasa mkuu alikuwaje mwanamke wako wa kwanza kati ya uliowahi kuwa nao? Au sijui kiswahili?

Hata hivyo Mungu kakujalia mema jitahidi muishi kama mnavyoendelea kuishi. Mawimbi mengi makubwa bado yatawakumba hivyo mzidi kumtegemea yeye aliyewaumba.
 
Mkuu hongera sana sana..huyo ndio mke wa dunian na akhera. Watu tunaomba usiku na mchana tupate mke bora ww tayar upo ktk hlo. Mungu amjaalie ukhty ajifungue salama na mtoto awe salama rabil-laala meen.
 
Hongera.
She is one in million
 
Relief Mirzska ni raha sana kusikia matukio kama haya, mke wangu ni kama wako ila naweza sema wangu ni zaidi. Ni mzuri, hana maringo, na akimshitukia rafiki yangu kuwa ni opportunist ni LAZIMA itatokea hivyo. Mafanikio yangu yote yatokanayo na biashara zangu ni kwa ajili ya mke wangu, she's one of a kind. Wema wake huwezi amini yaani hata kucheat naogopa, ni malaika wa hajabu sana na ninamshukuru Mungu kwa kunipa mke mwema maana naona nimependelewa mno. Samahani kama nimemkwaza mtu yeyote humu.
 
Hongera blaza kaka kwa kumpata wife material.
 
Hongera sana mweshimu huyo mkeo kuwa mwaminifu namuombea kwa Mungu ajifungue salama salimini, hakika Mke mwombaji ni nguzo ya familia pia huwa na hekima
 
I agree, I agree!! Ntaendelea kufanya hivyo mkuu! Amenipa rukhsa ni bora nioe mke wa pili kuliko kuzini, sasa hao wake wa pili hao, jitu unalitongoza linakwambia utanijengea nyumba kama mkeo??
Hapo pa mke wa pili mkuu tulia...hata kama ametoa ruhusa hapana jamani usioe..hawa wake wa pili wanakujaga na mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…