Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
- #341
Hakika sana mkuu.Ukipata mtu mweny hofu ya Mungu hakika umepata jambo jema, hapa sisemi wale weny mihemko ya udini au kujifanya n watakatfu kuliko wengne.
Kongole kwako mkuu kwa kupata mke mcha Mungu na mweny hofu ya Mungu
Nina amani ya hali ya juu kuhusu ndoa. Sina pressure yoyote ya kuchapiwa au namna gani vipi.
I am that blessed guy!