Nature haibadilikiIvi kwanini mnapenda kubashili negativity ,,kwanini usibashiri positive
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Asiyewajua anaweza kujipongeza sisi wakongwe tunawaacha. Ukweli hawaminiki sana.Wanawake wana akili usipime. Utamwona mpole mwenye hekima na utulivu usiomithilika, lakini anamegwa. Yuko jirani yangu hapa, mkewe huwezi kumdhania kabisa. Ila kuna jamaa anamega tena mchana kweupe ingawa anakuwa na mmewe kazini pamoja tena kampuni moja.
Halafu yeye anakuja na pongezi kwa mkewe. Sawa hongera zake.
Omba mungu usifilisike au kipato kupungua!!kuna watu walikuwa wanaishi pepo ya ndo ila baada ya kusimamishwa kazi tu cha moto alikipata..fanya kama una mtania kuwa umefukuzwa kazi halafu uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari Umeshakwama KakaHabari ya Jumatatu wana ndugu wote.
Niaze na kumshukuru mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.
Kiukweli wanawake wanamapungu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kua nae. Amekua na mchango mkubwa ktk maisha yetu.
Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekua mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.
Tatizo la sisi wa baba tunapo kuwa katika maisha ya ndoa hua tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.
M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.
ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana Kashawekwa mfukoni huyuUkiona mtawala anasifia mtawaliwa jua kuna shida mahali
Hatupo After grammar..... What we need only ContentSasa mwambie mkeo ajitahidi kukufanyisha mazoezi ya matumizi ya L na R kwenye uandishi ili awe mke bora zaid mbele ya wanajamii forums
Sio bikri tu mkuu maadili yapo toka kwa baba na mama yake.nilicho ongea nakimaanisha.ila pole unaongena,AUKO SAWA.Kama yupo makini ktk mambo yake utawezaje jua cheating zake,ushasema anabusara bado ujatushawishi kukupongeza,kingine ujamkuta bikra anaviporo vya kupashana,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anataka kupangia watuUmeshasema,kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa,hiyo ndio bahati pekee ulionayo,sasa usitake kuanza kutulazimisha wenzio tusiokuwa na wake wa hivyo tusitumie mifumo dume kwenye nyumba zetu...