Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

chumanile

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
298
Reaction score
335
Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru Mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wana mapungufu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kuwa nae. Amekuwa na mchango mkubwa ktk maisha yetu.

Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekuwa mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapokuwa katika maisha ya ndoa huwa tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.
 
Hbr ya juma tatu wana ndugu wote.
Niaze na kumshukuru mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii.pia nimshukuru m/mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.
Kiukweli wanawake wanamapungu mengi rakini sio wote.wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo.kuishi na mwanamke kunaiteji HEKIMA,BUSARA,NA USTAMILIVU.kukifa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka.kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa,kiasi ambapo najivunia kua nae.amekua na mchango mkubwa ktk maisha yetu.kiukweli sija wai kugombana nae wala kumuhisi chocheta,amekua ni mtu makini,anae tumia busara kubwa katika maamuzi yake.amekua mcheshi mno ,mwenye tabasam kira nikimuona nahisi furaha sana.pia nami najisifia kwa kuweza mke wangu,na kumfanya awe bora.
Tatizo la sisi wa baba tunapo kua ktk maisha ya ndoa hua tunatumia mfumo dume,mfumo kandamizi,mabavu.hali hii inafanya wamama kujio wao vijakazi mwishowe nawo hufanya watakavyo kwa kukosa busara,hekima wa waome wao.m/mungu alituagiza ishi nao kwa akili,alikua anajua wao ni watu wa kuelekezwa bira ukali,watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao.na ata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi,nguvu wara kejeri.ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO,ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBALIKI NDOE YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimejikuta nacheza tu na huu uzi😀😀 Ila ukweli ni kwamba kama picha yako inavyoonesha hapo juu, huyo mwanamke ni lazima akufanyie haya yoote uliyoyajaza humu
 
😂😂😂😂😂 mimi hoi na hayo majibu

mbona mnakatisha wenzenu tamaa??? amepata kilichobora kwake msifieni jamani nyie mnaombeza mshazoea kudanganywa had mkapoteza ham kiasi hamtaki kuelewa kama hivi vitu vipo

mtoa mada hongera!! lakini unaposema hamjawahi kukoseana unaongopa bana, ina mana nyie wenzetu ndoa yenu ina furaha 24/7?????
 
Hahahaa kwa hizi comments, inaonekana wengi ndani panawaka moto...

Hongera mtoa mada, kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana nawe ni mume mwema kwa mkeo. Nawaombea muendelee kupendana hivyo hivyo had mwisho, love is a beautiful thing🥰
 
Hahahaa kwa hizi comments, inaonekana wengi ndani panawaka moto...

Hongera mtoa mada, kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana nawe ni mume mwema kwa mkeo. Nawaombea muendelee kupendana hivyo hivyo had mwisho, love is a beautiful thing
Aaaaah,,,ndoa mpya huyo....ngoja wakae kae kidogo hapa........atatuletea mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ushawahi kukaza nje ya ndoa?
Habari ya jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wanamapungu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kua nae. Amekua na mchango mkubwa ktk maisha yetu. Kiukweli sijawahi kugombana nae wala kumuhisi chochota, amekua ni mtu makini, anae tumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekua mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapo kua ktk maisha ya ndoa hua tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikua anajua wao ni watu wa kuelekezwa bira ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom