Asante Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu)

Asante Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu)

kilght

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
635
Reaction score
182
Tangu ameingia madarakani amekuwa bize sana na mpangilio wa jiji la mbeya na sasa mbeya inapendeza.
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 1405932186814.jpg
    1405932186814.jpg
    83.9 KB · Views: 3,172
  • 1405932220877.jpg
    1405932220877.jpg
    86 KB · Views: 3,191
Dah! Amepqngilia jiji hilo kwa fedha za nani?
 
isiwe kesi pesa imefanya kazi yake sio kama waliokuwepo walikuwa wananunulia coaste
 
Hapa ndio pale nasemaga tafauti yetu sisi na wao wakati wao wanafisadi sisi tunajenga nchi nakuwafichua
 
Hivi sugu anasimamiya nini
Alishawai kukwambia yy ni msimamizi wa jiji la mbeya?
Au alikudanganya yy ndio anaepanga bajeti na kupanga bajeti ya jiji la mbeya ?
Usiwepwagu ndugu akikusikia mwanao atasema hana baba
 
nenda kwa mwigulu uone au kwa sitta uone tofauti
 
Back
Top Bottom