Asante Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu)

Asante Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu)

Sugu Jembe, Eti Ooh Mvuta Bange, Cjui Anapgana Bungen. Ss Tunamkubali Tu Hata Mseme Amejinyea
 
Majimbo Yanayoongozwa Na Ma Ccm Ina Maani Hata Picha Hamuoni??
 
Kiuhalisi Majimbo/miji yenye upinzani imepiga hatua kubwa sana ukilinganisha na enzi za ccm, mfano pita iringa mjini kulikua na barabara kuu na zile za katkati y mji ndi zina rami lakini sasa hadi vichochoron Mtwivila, Tumaini, Mkimbizi nk kote kunapigwa rami safi
 
Dah! Amepqngilia jiji hilo kwa fedha za nani?

Za walipa kodi watanzania,kama haujui hata vyanzo vya mapato vya halmashauri basi ww ni zuzu.
Walau ss Mbeya inaonekana ktk mpangilio.Sio yule mlevi Mpesya aliishi kwa mazoea sn.
Kazi ya Sugu imeonekana na kaonesha anaweza na sio Majinga ya ccm.
 
10504806_534336893335076_5769910773539322368_o.jpg

Hapa wachawi wote wachome wachome wachome choma wasaliti waanze kutubu wenyewe wachome wachome wachome wachomeeeeeeeee....... Aaaaaameni.
 
chadema chama makini watu makini!!!!.... viva chadema
 
Dah! Amepqngilia jiji hilo kwa fedha za nani?
Swali la kijinga sana hili. Wewe ilitaka atumia pesa ya nani? hatuwakatazi kuwa mashabiki na wakeleketwa wa CCM hiyo ni haki yenu kikatiba, lakini kujichetua akili kiasi hiki ni hatari sana
 
Dah! Amepqngilia jiji hilo kwa fedha za nani?

unaona ulivyo kiazi?? Hivi hapa inaamini fedha ni za ccm!, kweli ccm ina haki ya kumiliki manunda kama wewe ,hamjui kitu maskini!! Haya jibu la swali lako hili hapa:
FEDHA ZA WALIPA KODI WA KITANZANIA WAKIWEMO WATUMISHI WA UMMA ,WAFANYABIASHARA,WAKULIMA NA MISAADA KUTOKA NJE.
 
CHADEMA haitapata tena jimbo la Mbeya mjini! Sugu ndio wa kwanza na wa mwisho!
 
Wewe kweli hamnazo, hizo ni sera za ccm mwaka 2010 na atakayeenda kuzindua stand ya nanenane ni rais jakaya kikwete, ahahahahhaahhaahha makada wa chadema wanafanya kazi ya makada ya ccM!!!!

Ccm haikwepeki, yaani unazikubali sera na kauli mbiu ya ccm, kweli jk ni rais bora barani africa!!!!? Mkewe anatundikwa mimba nje ya ndoa na wewe unasherekea eti wewe ni kidume? Aibu sana hii!! Sugu hawezi iongoza mbeya kwa sababu si mtu ambaye anamuamko na elimu maana mbeya ni mji wa watu wasomi, kwani sugu kaishia form four tena kwa kupata division zero
 
Tena sugu hajui lolote linaloendelea mbeya, ccm inakesha kuhusu kuboresha miundo mbinu!!! Sugu mpangaji hatumuitaji tena hapa mbeya
 
Back
Top Bottom