Sija iangalia hiyo TV ila kwa Clouds Tv ni moja ya tv mbovu hapa Tz, kwa hiyo hata wasilenge kushindana na Cloudz tv walenge at least kushindana na EATV maana ndiyo Tv ya burudani yenye viwango vya juu hapa bongo
afadhali kama wamekuja watu wenye quality zao.
Nakubaliana nanyi aisee, huwezi walinganisha clouds na Eatv, Eatv ni watu weredi sana na vipindi vya kueleweka, hata vipindi vingi wamekopi EatvNakubaliana na wewe, clouds sio bora ila wanatantarira nyingi compared to eatv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sababu wewe ni kipepeooooo
Tunakufungulia duniaaaaNakubaliana na wewe, clouds sio bora ila wanatantarira nyingi compared to eatv
Ubovu wao nn?Sija iangalia hiyo TV ila kwa Clouds Tv ni moja ya tv mbovu hapa Tz, kwa hiyo hata wasilenge kushindana na Cloudz tv walenge at least kushindana na EATV maana ndiyo Tv ya burudani yenye viwango vya juu hapa bongo
afadhali kama wamekuja watu wenye quality zao.