Elimu haijawahi kuwa bure.. WENZAKO WANACHANGISHWA MCHANGO WA MADAWATI KIBABE/KILAZIMA..... mchango wa maabara.. halafu watakuja kufanya mtaji wa sera zao za majukwaani kuombea kuraView attachment 376982
Elimu haijawahi kuwa bure.. WENZAKO WANACHANGISHWA MCHANGO WA MADAWATI KIBABE/KILAZIMA..... mchango wa maabara.. halafu watakuja kufanya mtaji wa sera zao za majukwaani kuombea kuraView attachment 376982
Nakupa kazi.. hivi karibuni kipindi jmk anakaribia kumaliza mda wake kulikiwa na mradi wa ujenzi wa maabara za sayansi kwa shule za sekondari.. baadhi ya maeneo watu walichangishwa kibabe kama hii issue ya madawati sasa hivi..but still mkuu,sijaagalia data,Elimu labda haijawa bure ila imekuwa nafuu.....km watu secondary ni bure wengi watasoma,na shule za private watapunguza fees hivyo more people will study and benefit from this partern ....I stand to be corrected....
SelfieHaya.... Amekusikia "njoo tupige Picha sasa wewe"
mee tooooo honey,love you,........!
Love you too sweetpie. Nataka kukuwowa ila sina mahari.
Tuanze 'kufyatua' kwa mwendo kasi kutekeleza kauli mbiyu ya Mh Rais.
-Kaveli-
Kwa uandishi huo bas utakuwa kibibi cha mwendo kasi,au kibibi cha chatoyaani mngejua Rebeca ni kibibi ,,,mh
hahaaaaaaaaaaaaaa hii habari njema,Kaveli,ππ
mahari usijali,kwetu pwani , mahari mchele kilo tano na kuku wawili ....πππ
au na hio huiwezi?ππππ
Hiyo naiweza. Ndo raha ya kuoa Pwani. I guess hata huduma utamudu 'kuniserve' on daily basis. Na watoto wa Pwani mlivyo 'watamu'... walahi mpaka nitapata kisukari kwa hayo mahaba 'jipimie' !
Ila mie mkulima wa mboga mboga, jiandae kushika jembe.
-Kaveli-
Alamsiki,lala unono,na umsalimie babumie ni kibibi cha mwendo kasi,gud nite mkuuu
Mmmh elimu bure at the end no employment what is benefts on this plz my fellow Tanzanian is better to spend cost for the thing which is benefts for you rather than doing free for futureless matterKatika jambo tutakalokukumbuka ni kukuza elimu, kwa kufanya elimu bure automatically tunaunda EDUCATED NATION, which will see economic growth. As quality of labour is IMPROVED and when, combined with other factors of production lazima tusonge mbele ninachokuomba sasa, ni you impose high tax for people earning higher wages to remove INEQUALITY people like doctors, lawyer should be taxed more.
Mkinipopoa na mawe nakimbia.