....katika jambo tutakalokukumbuka ni kukuza elimu,kwa kufanya Elimu bure.
....kwa kufanya elimu bure automatically tunaunda EDUCATED NATION,which will see economic growth. As quality of labour is IMPROVED and when,combined with other factors of production...lazima tusonge mbele...................
ninachokuomba sasa ,ni you impose high tax for people earning higher wages....to remove INEQUALITY.......people like doctors,lawyer should be taxed more....
mkinipopoa na mawe nakimbia.....
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ni fidondingo?mbona umenikimbia leo?
Umemaliza????
Unapenda Communism??? Sasa mbona unataka usawa kwenye mishahara kwani wote mlitumia miaka sawa mashuleni??? nani alikuambia EQUALITY ni tabia ya nature??? guyz yaani hadi madoctor mnawaonea gere???...TO BE HONEST, NILICHOKIONA HAPA NI WIVU.
Hahahahaaa ukafikiri nategemea kuhesabiwa pesa kila baada ya siku 30??? Ntengeneza pesa mwenyewe na sijui mshahara ulivyo coz sipokei mshahara bali natoa...ila hao watu wanastahili ujira mkubwa coz kazi zao siyo kitoto.usiogope,utakachokatwa still ni relative small compare what you earn lol.....
yaani unataka ukatwe sawa na baamedi,mkuu mmmnh.....
hujui hio pesa itaimprove social services such as water ,health,,,,,,,,,and the more we collect tax ,the more improvement of these services,,,,
by the way this goes even up to your relatives,that you left them kijijini.....
Hahahahaaa ukafikiri nategemea kuhesabiwa pesa kila baada ya siku 30??? Ntengeneza pesa mwenyewe na sijui mshahara ulivyo coz sipokei mshahara bali natoa...ila hao watu wanastahili ujira mkubwa coz kazi zao siyo kitoto.
Kila Mwanalumbuma hutolea mfano wa Tanesco na Luku, tumechoka sasa hebu tupeni mifano mingine, kama elimu imefikia wapi mpaka sasa (bila shaka ni pagumu, maana 20000 ya mwanagunzi wa sec. Itolewayo kama ruzuku igawanye kwa miezi 12, utaiona hali ya shule inavyoyumba) Afya je? Mpaka sasa tumeripot chanjo hakuna mengine hatusemi! Wafanya biashara mmewafikisha wapi mpaka leo!? Hali za wafanyakazi nao! Tachen drama za imani imani iman Mh abadiri njia hii tunayopita inatuumiza inamiba mingi wakati tunatembea pekunilikua nataka kusema bado tuko kny stage ya kutoka,Magufuli nina Imani nae atatufikisha mbali....mfano electricity ni necessity,Tanesco wakiongeza bei watu hawawezi kuhama kampuni within a day...inachukua muda,what am tryrig to say tumpe muda magufuli
Kila Mwanalumbuma hutolea mfano wa Tanesco na Luku, tumechoka sasa hebu tupeni mifano mingine, kama elimu imefikia wapi mpaka sasa (bila shaka ni pagumu, maana 20000 ya mwanagunzi wa sec. Itolewayo kama ruzuku igawanye kwa miezi 12, utaiona hali ya shule inavyoyumba) Afya je? Mpaka sasa tumeripot chanjo hakuna mengine hatusemi! Wafanya biashara mmewafikisha wapi mpaka leo!? Hali za wafanyakazi nao! Tachen drama za imani imani iman Mh abadiri njia hii tunayopita inatuumiza inamiba mingi wakati tunatembea peku
umempa nuctanini tena?