Asante JF; nimepata mke wa pili

Asante JF; nimepata mke wa pili

Mkuu wanawake waliokuja Pm walifuata hiyo ahadi ya kupata "Brevis", hata huyo Mzanzibari uliyemchagua na yeye pia amefuata hiyo Brevis. By the way jiandae vizuri kukabiliana na changamoto ambazo hukuzitarajia. Hamu yake ya kuendesha "Brevis" itakapoisha ndipo na hamu ya kuishi na wewe itaisha vile vile.
 
Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.

Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.

Statistics ya maombi ilikua hivi:

Walioomba jumla ni 32.

Waliokidhi vigezo ni 3

Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.

Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.

Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.

1. Mtoto ni Shombe shombe

2. Mtoto ni laini laini

3. Mtoto ni anawakawaka.

4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)

5. Mtoto ni ana sauti nzuri.

Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.

Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar

Ahsanteni sana jf...
Hongera sana Mkuu kwa kupata mathnaaaa, Mungu akuongoze uwe mwadilifu juu yao wote.
 
Naomba hiyo list ya 32 rejected nichekeche nitapata mmoja bila shaka..!
 
Ndoa za kiislam baba, wanawake 32 wanataka kuwa wake wa pili?????
Waislamu simple tu mahari, 100000, chakula biscuit na Karanga na maandazi,100000, soda 100000, kanzu ya bw, harusi na mengineyo, 100000, nguo ya bi harusi na mengineyo, 250000 ushindwe mwenyewe. Hata 1m haiishi.
 
Sperms need nutrients to be formed...Bring 'em out, energy is needed...

Handling two wives, financial matters should be stable...

Ukiweza kuwamudu vema, bila kusahau show za ugenini(michepuko), kiwango kikubwa cha nishati kitapotea na mwili utahitaji virutubisho vya kutosha..Finally utachoka mapema..mara kiuno hakifanyi kazi, miguu imevimba, etc

Ukishindwa kuwamudu, watachepuka. Utapata shinikizo la moyo, pressure, stress etc...finally, unakufa.

wanaume tunakufa mapema sana kwa kupoteza energy

Tunakumbusha tu mkuu...kiroho safi
 
Hongera mleta uzi kwa kuitikia wito wa JPM kuwa wanaume muwe na wanawake zaidi ya mmoja ili kupunguza ukahaba.
 
Mkuu wanawake waliokuja Pm walifuata hiyo ahadi ya kupata "Brevis", hata huyo Mzanzibari uliyemchagua na yeye pia amefuata hiyo Brevis. By the way jiandae vizuri kukabiliana na changamoto ambazo hukuzitarajia. Hamu yake ya kuendesha "Brevis" itakapoisha ndipo na hamu ya kuishi na wewe itaisha vile vile.
Mwanamke ni kumshape tu awe jinsi upendavyo wewe. Wapo waliosema hivyo hivyo nilipooa mke wa kwanza lakini bado tunadunda tu hadi sasa
 
Mwanamke ni kumshape tu awe jinsi upendavyo wewe. Wapo waliosema hivyo hivyo nilipooa mke wa kwanza lakini bado tunadunda tu hadi sasa
Mimi sikuombei mabaya mkuu, bali ninakutahadharisha tu. Hebu jiulize swali dogo na rahisi, hivi hao wanawake waliokuja PM walivutiwa na wewe kama wewe au walivutiwa na ahadi ya kupewa BREVIS na pesa za Biashara ya kuuza vitenge??

Ukipata jibu la hayo maswali basi utaelewa namaanisha nini. Ni hatari sana kutafuta Mwanamke kwa kutanguliza "AHADI" za mali mbele, ukifanya hivyo kama ulivyofanya wewe utaishia kupata Mwanamke mzuri sana wa sura na umbo lakini atakuwa amefuata "mali zako" tu na siyo kukufuata wewe!!!

Wanawake ni viumbe hatari sana kuliko unavyofikiria wewe, ipo siku you will learn about women the hard way.
 
Kila la kheri,jitahidi tu kufanya usawa kwa wote wawili (mke mkubwa na mke mdogo)
 
Ulitumia vigezo vya sura na sauti,,wengi kweli 29 wengi wana hamu ya kuolewa sana ila kwenye nyuzi wanajifanya hawapendi kuolewa
Hakuna mwanamke asiyependa kuolewa, ni kujishaua tu huko mama Sabrina
 
Back
Top Bottom