Asante JF; nimepata mke wa pili

Asante JF; nimepata mke wa pili

Kwa uzi huu naomba unitag kwa picha tuzione sio maneno tuu.. maana hii post ninyamaze tu nikingojea picha za harusi.. pichaaaaaaa
 
Asubuhi hii chai tena ya maziwa
Sithani kama umeweka sukari
 
Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.

Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.

Statistics ya maombi ilikua hivi:

Walioomba jumla ni 32.

Waliokidhi vigezo ni 3

Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.

Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.

Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.

1. Mtoto ni Shombe shombe

2. Mtoto ni laini laini

3. Mtoto ni anawakawaka.

4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)

5. Mtoto ni ana sauti nzuri.

Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.

Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar

Ahsanteni sana jf...
Hongera
 
Back
Top Bottom