Asante JF; nimepata mke wa pili

Asante JF; nimepata mke wa pili

Don Clericuzio, bila shaka umenielewa vibaya tu, the best thing ni kutoa wishes ila kukumbushana ni jambo la heri pia haina maana kwamba ni wivu, ikiwa hivyo nitawaonea wivu wangapi, nitakuwa mjinga sana kama nitamuonea wivu mtu yeyote humu zaidi kwa jambo ambalo sina uhakika nalo. Hatufahamiani kwa sura, au majina zaidi ya hizi ID, maneno, mitazamo na michango tunayoiweka humu!

Sawa bosi, nimekupata.

Pamoja.
 
Katika hiyo list tutajie members wa jf waliojitokeza na kukosa bahati.
Nasi tunauhitaji mkubwa sana.
Maana kuna msemo kuwa "unakiona cha nini, mwenziyo anafikiria atakipata lini"
 
Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums.

Niliwapa fursa wana jf walio interested na ndio niliowapa kiapaumbele.

Statistics ya maombi ilikua hivi:

Walioomba jumla ni 32.

Waliokidhi vigezo ni 3

Ambao hawajakidhi vigezo ni 29.

Hao watatu, aliyekua top ni kutoka Zanzibar, aliyefuata ni kutoka singida, na wa huyo mwingine ni kutoka dsm.

Ktk mchujo wa hao watatu, nimeamua kumchukua yule wa zanzibar kwasababu zifuatazo.

1. Mtoto ni Shombe shombe

2. Mtoto ni laini laini

3. Mtoto ni anawakawaka.

4. Mtoto ni ana natural long hair (loh, nipewe nini mimi Mjina)

5. Mtoto ni ana sauti nzuri.

Ndoa tutaifunga next month, mbezi kwa msuguli ndipo sherehe itakuwepo baada ya ndoa kufanyika huko znz. Nitawajuza Tarehe.

Posa ninapeleka Tarehe 25 zanzibar

Ahsanteni sana jf...
Vipi mkuu ubweche utakuepo?
 
Kwa msuguri hapo nitahudhuria....
 
Back
Top Bottom