Asante Jakaya Kikwete.....

Rais huyu ni bora zaidi ya awamu zote..
1.anaunganisha mikoa yoote ya tz kwa barabara zenye kiwango cha lami..
2. hajayaonea aibu mafisadi anayashitaki...
3. Ni mvumilivu mnooo.. licha kauli chafu anazozipata toka kwa watu wasiopenda maendeleo..(CDM)...hata umu JF wapo..angekua ni rais mwingine angesha funga mitandao hii ya kijamii...
4. kigamboni daraja laaza jengwa december.... na mengine meengi mazuri anayoendelea kuyafanya...

UMEREJESHA IMANI KWA WATANZANIA BABA.... Asante saana..
CDM karibuni kunipinga.. viumbe msio na shukrani.....wanafiki..msio jua jema na baya..

Huyu jamaa ana tatizo kichwani si bure jamani mpeni pole
 
Back
Top Bottom