Asante ITV The super brand.

Asante ITV The super brand.

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
2,412
Reaction score
1,928
Hakika itakuwa ni kukosa fadhila kuacha kukishukuru kituo cha television ITV kwa kutupa habari za nini kinachoendelea katika viwanja vyote M4C-OPD inapoendelea na kazi ngumu ya kutoa elimu ya uraiya kwa raiya waliochukuliwa msukule na serikali ya ccm zaidi ya miaka30.

Hakika kwa kupitia kipindi cha Habari za saa nimekua nikifuatilia kwakaribu zaidi kila baada ya saa mija linaloendelea ndani ya nchi yangu ya Tanzania/Tanganyika. Na nimefarijika sana kuona ukombozi mkubwa unaoenda kwa kasi kubwa unaofanywa na timu tatu shupavu kupitia M4C-PAMOJA DAIMA.

Mwisho nimalizie kusema Asante ITV asante Chadema M4C PAMOJA DAIMA, habari ya mujini na vijijini.

ITV THE SUPER BRAND.
 
mkuu mwana chedema yoyote yupo makini, thread yako ina makosa mengi jaribu kuiweka sawa
 
Nikiripoti kutoka hapa Tarimeee ni Paul Makongo Aitiviiiiiiii
 
hakika itakuwa ni kukosa fadhila kuacha kukishukuru kituo cha television itv kwa kutupa habari za nini kinachoendelea katika viwanja vyote m4c-opd inapoendelea na kazi ngumu ya kutoa elimu ya uraiya kwa raiya waliochukuliwa msukule na serikali ya ccm zaidi ya miaka30.

Hakika kwa kupitia kipindi cha habari za saa nimekua nikifuatilia kwakaribu zaidi kila baada ya saa mija linaloendelea ndani ya nchi yangu ya tanzania/tanganyika. Na nimefarijika sana kuona ukombozi mkubwa unaoenda kwa kasi kubwa unaofanywa na timu tatu shupavu kupitia m4c-pamoja daima.

Mwisho nimalizie kusema asante itv asante chadema m4c pamoja daima, habari ya mujini na vijijini.

Itv the super brand.

wewe ni mbinafsi sana,
 
ila kuna baadhi ya mareporter
wana roho mbaya hawatuonyeshi wahudhuriaji. kama juzi nilimwona Mdee huko kilosa
 
Viva Chadema !
Viva ITV !
.... aah zigo zito kabwe tupa kule !
 
Hahahahaaaa Watanzania wamechukuliwa misukule na CCM. Weee mkare aiseee
 
TBCCM wapi??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom