ITV siyo Super Brand. Wana upendeleo mkubwa sana

josephwaara

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
304
Reaction score
641
Nikiandika nliyokusudia ntakula ban bure, hivi hiyo tuzo aliwapa nani? Super brand gani yenye upendeleo mkubwa hivi? Nimewafuatlia sana tangu Lissu aripoti nchini habari zake hawazipi uzito kabisa

Matukio ya mikutano ya CHADEMA inapewa nafasi saa 2 na dak. 18 tena kwa dak. 3 [emoji854]. Media zetu ziko biased sana asee bora nikomae zangu na mitandao ya kijamii tu, bye bye ITV.
 
Wewe bwana msituchoshe ile tv ni ya mwanaumee hukuchangi hata Senti wee umekaa hapo unakanda ngano sebuleni kuhujua mapito yake waambieni na chama wafungue tv wao au wee fungua yako umulipoti vzr lissu ungesema hata tbccm imefanya hvyo ningekuelewa kwasababu ni Kodi zetu linapokuja swala la biashara mtu anaangalia maslahi kwanza kwa Hilo wariport jinsi wanavyotaka wao full stop
 
Kwa hiyo kutokutangaza habari ya Lisu ndio kunaifanya ITV isiwe superbrand?

Madhara ya ubongo ukitawalia na siasa,wakati wenzake wamefanya research na kugundua ITV ni super ila wewe kwa makusudi unalinganisha MAHABA yako binafsi na utafiti.
 
Kuna mahali unakwama, nafikiri kukupuuza italeta afya zaidi ila Lisu ba Chadema nimeweka km mfano tu wa matukio makubwa yaliyotokea na kupuuzwa akat ya ccm yamerushwa kwa kipaumbele kikubwa.
Sasa unaposema tv ya mwanaume sidhan km uko sahihi, umoja wa kitaifa hatuwezi kuupata tukiwa na mawazo mufilisi km yako.
 
Kwa hiyo kutokutangaza habari ya Lisu ndio kunaifanya ITV isiwe superbrand?

Madhara ya ubongo ukitawalia na siasa,wakati wenzake wamefanya research na kugundua ITV ni super ila wewe kwa makusudi unalinganisha MAHABA yako binafsi na utafiti.
Sijaanza kuwafuatlia leo mkuu, hii ishu ya Lissu na Chadema nimetoa km mfano tu kwa kuwa ni current issue iliyo kubwa kwa hivi karibuni, wanazingua mkuu fuatlia utaungana nami.
 
Waliowapa hiyo tittle waliridhika na vigezo vyao...sasa kama wewe una vigezo tofauti hayo ni mengine.
 
Sijaanza kuwafuatlia leo mkuu, hii ishu ya Lissu na Chadema nimetoa km mfano tu kwa kuwa ni current issue iliyo kubwa kwa hivi karibuni, wanazingua mkuu fuatlia utaungana nami.
Kwa hiyo sio super brand kwa sababu hawa tangaza habari za Lisu na Chadema?

Mahaba yako na utafiti vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom