Thread haina kichwa wala miguu."Nimeshamaliza" ndo kazi mpya ya huyu jamaa,sio siri huyu ndo Janja niliyekuwa shabiki wake tangu ana miaka 10.Uliopoanza imba kama baba ako Madee ilibidi nikae pembeni..
Sema huyu Aslay kidogo akuvunje kiuno kwenye ngoma yako mwenyewe..
Hongeren kwa kazi nzuri...
Unawahi wapi, andika kitu kikaeleweka"Nimeshamaliza" ndo kazi mpya ya huyu jamaa,sio siri huyu ndo Janja niliyekuwa shabiki wake tangu ana miaka 10.Uliopoanza imba kama baba ako Madee ilibidi nikae pembeni..
Sema huyu Aslay kidogo akuvunje kiuno kwenye ngoma yako mwenyewe..
Hongeren kwa kazi nzuri...
HahahhaThread haina kichwa wala miguu.
Rubbish
"Ushamaliza"..,
Ndio mkuu"Ushamaliza"..,
Sawa Mkuu wangu.., Ngoma kali sana ingawaje bado sijabahatika kuisikiliza!Ndio mkuu
Kina max wasipokuwa makini jf itakuwa ya hovyo kuliko insta na matakataka mengine.Thread haina kichwa wala miguu.
Rubbish
YeahEti ndikumana kafa?
Soma tena,usipoelewa nipige 076957670Aliyeelewa anisaidie kunielewesha tafadhali
Soma tena mkuuUnawahi wapi, andika kitu kikaeleweka
Unazingua mkuu...hahahahahNimekuja mbiombio nikadhania katoa rambirambi ya milioni 900 itapendeza.